Mchengerwa amsimamisha kazi Mganga mkuu Sumbawanga Manispaa


Serikali ya kiki. Daktari na ujenzi au pesa wapi na wapi?



Ali mradi Kila waziri anasema lake kulingana na size ya kifua chake.
 
Hata hii iliyopo hairuhusu haya mambo,basi tu mambo yetu meusi.

Taabu ya hii iliyopo utamwambia nini yule mwenye mhimili uliojichimbia zaidi? Ile mingine nayo inaundwa je kwa mujibu wa hiyo katiba?

Kimsingi hii iliyopo ndiyo chanzo cha sokomoko lililopo.
 
........... uwepo wa kasoro mbalimbali zinazohusiana na ukiukwaji wa taratibu za fedha na ununuzi, usimamizi hafifu wa miradi uliochangia kutokamilika kwa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya pamoja na kukosekana kwa ushirikishwaji.

Hayo ndiyo makosa yao.
Je hoja ya force account haina mashiko?
 
Mkuu simjui huyo Dr. lakini hapo hakuna ufisadi kwa huyo Dr. Yaani tunategemea KABISA Medical Dr. asimamie ubora kwenye ujenzi? Force account imewageuza watendaji wa halmashauri wawe wakandarasi.
Kama kweli Dr. Archie Hellar ameingia kwenye ufisadi wa kiwango hicho, nitaamini sasa kuwa hata uwe mwaminifu vipi, ukijihusisha na CCM au wanasiasa utageuka kuwa mwizi tu. Ama sivyo uwataje wezi wote kwa majina yao hadharani.
 
Kama kweli Dr. Archie Hellar ameingia kwenye ufisadi wa kiwango hicho, nitaamini sasa kuwa hata uwe mwaminifu vipi, ukijihusisha na CCM au wanasiasa utageuka kuwa mwizi tu. Ama sivyo uwataje wezi wote kwa majina yao hadharani.
Naamini kabisa huyo Dr. haelewi hata kinachosemwa. Mifumo wa force account ni uonevu kwa watendaji wengi kama huyo Dr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…