Mchengerwa amwagiza daktari Temeke kufunga Duka la Dawa pembezoni mwa Hospitali

Mchengerwa amwagiza daktari Temeke kufunga Duka la Dawa pembezoni mwa Hospitali

kabsa yani, wenyewe wazingatie tu huduma zote na dawa zote vipatikane mda wote vituo vya afya.
Waone kama hayo maduka yatakuwepo karibu na vituo vya afya.

Ndii mkuu, Unless iwe kwamba Dakatari anaiba dawa za Government anapeleka dukani kwake, Hyo ni hoja nyingine inayo hitaji uchunguzi na Ushahidi wa wazi.
 
Ndii mkuu, Unless iwe kwamba Dakatari anaiba dawa za Government anapeleka dukani kwake, Hyo ni hoja nyingine inayo hitaji uchunguzi na Ushahidi wa wazi.
na bora hicho ndo kingekua kigezo cha kuondoa hayo maduka karibu na vituo vya afya.

Na pili sio hak kwa mamlaka yoyote kufunga biashara ya mtu bila tatzo lolote na anaripa kodi.
 
Back
Top Bottom