Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
View: https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Karibu bongo , huwa wanapewa bahasha in advanceHao waandishi wa habari ni kwakuwa wanapewa bahasha, lakini kwa muandishi wa habari anayejitambua hawezi kwenda kwenye huo upuuzi.
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Wanatubagaza na kututindinyanaMoja ya majukumu ya wizara ya afya ni maswala ya public health.
Public Health inahusisha mambo mengi, mojawapo ni utoaji wa elimu kwa jamii.
Dudubaya kama raia na mteja wa kawaida uelewa wake wa maswala ‘medical diagnostic tools’ na pathophysiology ya magonjwa unahitaji elimu, kama ilivyo kwa wengi wetu.
Baada ya yeye kutoa maelezo yake, medics wameanza vizuri kujaribu kutoa elimu wa upungufu wa maelezo.
Ni haki yake Dudubaya kuongea anavyoelewa yeye kupitia experience yake, na ni jukumu la wizara ya afya kutoa elimu sahihi panapo pwaya. Hivi ndivyo afya inavyofanya kazi.
Tatizo ukishageuza serikali kuu ni biashara ya familia na kupeana nafasi kwenye wizara zinazotaka wataalamu, solution uwa kutumia mabavu kwenye kila kitu.
Hapo Sasa...Ndio Yale Yale Ya Kipindi Kile,Viongozi Wa Ile Tochi,,Kutindua Barabara Ya Lami Kwa Sululu Eti Wanaangalia Ubora....Huyo Mchengerwa mambo ya MRI anayajulia wapi?
Mkwe hana majibuHoja za Dudubaya zijibiwe
1.Kwanini mashine zinapiga kelele tofauti na za nje ya nchi kama India alikoenda yeye?
2.Je mashine zetu ni mpya au Mtumba?
3.Kwanini kipimo kinatumia mda mrefu (saa zima) za wenzetu dk 15?
3.Kwanini zinatoa majibu tofauti, unaenda na tatizo na kichwa Unaambiwa mguu ndio una shida?
Bila kujibu hizo hoja mtakua mnatupigia kelele tu hata akijibu Kizimkazi woman.
Asante.
Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi
Naona Dudubaya kachangiwa
Machine za India na Tanzania zinatoka kampuni moja,Zina umri sawa?Hoja za Dudubaya zijibiwe
1.Kwanini mashine zinapiga kelele
Anataka kila siku pawe na mashine mpya?tofauti na za nje ya nchi kama India alikoenda yeye?
2.Je mashine zetu ni mpya au Mtumba?
Brand ya mashine ni ileile?..ufanisi wa yutong uwe sawa na scania?3.Kwanini kipimo kinatumia mda mrefu (saa zima) za wenzetu dk 15?
Alipata nafuu ndiyo akaenda India au alienda India akiwa kazidiwa kama kabla ya kutibiwa muhimbili?3.Kwanini zinatoa majibu tofauti, unaenda na tatizo na kichwa Unaambiwa mguu ndio una shida?
Watu waache ujuaji kwenye fani za watuBila kujibu hizo hoja mtakua mnatupigia kelele tu hata akijibu Kizimkazi woman.
Asante.
Wagome tu kumtibu,yeye si mtaalamDudubaya hama nchi siku ukiumwa sindano ya simu nahisi itakuhusu. Hii Awamu imechangamyikiwa ukiwagusa tu wanakuondoa