Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

Hoja za Dudubaya zijibiwe

1.Kwanini mashine zinapiga kelele tofauti na za nje ya nchi kama India alikoenda yeye?
2.Je mashine zetu ni mpya au Mtumba?
3.Kwanini kipimo kinatumia mda mrefu (saa zima) za wenzetu dk 15?
3.Kwanini zinatoa majibu tofauti, unaenda na tatizo na kichwa Unaambiwa mguu ndio una shida?

Bila kujibu hizo hoja mtakua mnatupigia kelele tu hata akijibu Kizimkazi woman.

Asante.
 
Moja ya majukumu ya wizara ya afya ni maswala ya public health.

Public Health inahusisha mambo mengi, mojawapo ni utoaji wa elimu kwa jamii.

Dudubaya kama raia na mteja wa kawaida uelewa wake wa maswala ‘medical diagnostic tools’ na pathophysiology ya magonjwa unahitaji elimu, kama ilivyo kwa wengi wetu.

Baada ya yeye kutoa maelezo yake, medics wameanza vizuri kujaribu kutoa elimu kwenye mapungufu ya maelezo.

Ni haki yake Dudubaya kuongea anavyoelewa yeye kupitia experience yake, na ni jukumu la wizara ya afya kutoa elimu sahihi panapo pwaya. Hivi ndivyo afya inavyofanya kazi.

Tatizo ukishageuza serikali kuu ni biashara ya familia na kupeana nafasi kwenye wizara zinazotaka wataalamu, solution uwa kutumia mabavu kwenye kila kitu.

Dudubaya hajavunja sheria yoyote ya nchi.
 
Wanatubagaza na kututindinyana
 
Mkwe hana majibu
 
Hoja za Dudubaya zijibiwe

1.Kwanini mashine zinapiga kelele
Machine za India na Tanzania zinatoka kampuni moja,Zina umri sawa?
tofauti na za nje ya nchi kama India alikoenda yeye?
2.Je mashine zetu ni mpya au Mtumba?
Anataka kila siku pawe na mashine mpya?
3.Kwanini kipimo kinatumia mda mrefu (saa zima) za wenzetu dk 15?
Brand ya mashine ni ileile?..ufanisi wa yutong uwe sawa na scania?
3.Kwanini zinatoa majibu tofauti, unaenda na tatizo na kichwa Unaambiwa mguu ndio una shida?
Alipata nafuu ndiyo akaenda India au alienda India akiwa kazidiwa kama kabla ya kutibiwa muhimbili?
Bila kujibu hizo hoja mtakua mnatupigia kelele tu hata akijibu Kizimkazi woman.

Asante.
Watu waache ujuaji kwenye fani za watu
 
Tamko lililo subiriwa kwa hamu hatimaye limetoka rasmi, kuwa DUDU BAYA ACHUKULIWE hatua za kinidhamu sio


SWALI LANGU KWAKO WAZIRI, KAMA VIFAA TIBA NI VYA KISASA NA VINA UBORA, KWANINI NYIE MKIUGUA MNAENDA KUTIBIWA NJE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…