rais mstaafu Duterte anayeshutumiwa, na upande mwingine wale walalamikaji raia wa the Philippines waliowasilisha malalamiko yao Mahakama ya Kimataifa Dhidi ya Uhalifu ya ICC The Hague Uholanzi.
TOKA MKTABA:
Rais mstaafu Duterte mwanae wa kike ni makamu wa rais wa The Philippines lakini imeshindikana kumuokoa rais mstaafu, kuna somo kwa watawala wetu sijui kama wanaliona au la :
MAKAMU WA RAIS SARA DUTERTE, ASEMA KILICHOFANYIKA DHIDI YA BABAYE NI UHALIFU WA KIDOLA
View: https://m.youtube.com/watch?v=ckdiZpsnPSY
Makamu wa rais Sara Duterte ambaye baba yake ni rais wa zamani Rodrigo Duterte asema kilichotokea ni utekaji uliofanywa na dola ili njama za kumpeleka Rodrigo Duterte akamatwe na kupelekwa ICC The Hague zifanikiwe...
Makamu wa rais Sara Duterte alaumu vikali serikali kufumbia macho rais wa zamani Rodrigo Duterte 'atekwe' akiwa uwanja wa ndege nchini The Philippines akirejea kutoka Hong Kong ..
More in depth:
A chartered plane that will transport former Philippine President Rodrigo Duterte to the International Criminal Court (ICC) in The Hague in The Netherlands took off on Tuesday night.
The aircraft RP-C5219 took off at 11:03 p.m. local time (1503 GMT), Philippine President Ferdinand Romualdez Marcos confirmed in a press briefing.
On Tuesday night, Philippine Vice President Sara Duterte arrived at the Villamor Air Base in the Philippine capital but failed to see her father.
Sara Duterte earlier said in a statement that her detained father was "forcibly taken to The Hague," hours after the former Philippine leader was detained at Manila airport after the ICC issued a warrant for his arrest related to his "war on drugs" campaign.
Sara's younger sister, Veronica, said in a social media post that "They took my dad from us, put him on a plane, and wouldn't say where to."