Huyu mpuuzi apeleke kifua chake Kwa mama mkweWaziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
We ni mlamba makombo huna lolote unajilinganisha na huyo anayemtetea ma mkwe?!.Ndio
Tumekusikia mwana wa malkia ila kumbuka yana mwisho mwanangu. Kulala na mtoto wa mama kusikupe jeuri. Yuko wapi Magufuli na waliodhani ataishi milele.Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
rais mstaafu Duterte anayeshutumiwa, na upande mwingine wale walalamikaji raia wa the Philippines waliowasilisha malalamiko yao Mahakama ya Kimataifa Dhidi ya Uhalifu ya ICC The Hague Uholanzi.
Huyo Mchengerwa ni mhalifu. Alisimamia utekaji, mauaji ya watu na wizi wa uchaguzi wa serikali za mitaa kinyume na taratibu zote za kisheria na Katiba 2024. Ingefaa awe jela muda huuMchengerwa: Anayedhani anaweza kutingisha kiberiti, ajaribu na atakiona
Kwani kudhibiti uvunjivu wa amani/uhalifu ni mbaya?Mama Abdul ndiye mvunjaji wa amani #1
Nyumba ya mfalme hainaga makomboWe ni mlamba makombo huna lolote unajilinganisha na huyo anayemtetea ma mkwe?!.
Kula siku nasema chadema amna akili mnabisha msikiluzen8 kama huyu zuzu na hii komenti yske๐๐๐๐ haya nyerere aliwahi kusema Tanzania tunatakiwa kuwa na vijana wakaidi wenye kiburi unajua nini maana yake maana yake TYWE NA WATU WENYE KIBURI CHA HAKI NA UZALENDO hao ulio wataja kiburi chao kipo hivyo ....na ndiyo watu wanaotakiwa tz ...mfano k8buri kama cha Lissu kipindi cha jpm cha kutetea mafisadi ya madini na wengine eti kwa hoja pumbavu ya kushitakiwa miga ni kiburi cha kingese hata nyerere angekuwepo angesema ni kiburi cha kipumbavu. Ndani ya ccm ya samia hao ulio wataja usifikiri wanapendwa sana na genge la samia la Raia feki sema awana jinsi tu.Waziri mshamba kuliko mawaziri wote
Awaulize wakina mpina, bashiru, polepole na ndungai walivyokuwa na kiburi sasahivi wanacho?
Ushamba wa madaraka
Wivu wa kike huo.Kuoa mtoto wa Rais ndo kunamfanya awe na kiburi hivyo. Anajiona nchi yote ipo mikononi mwake. Anaona wanancho wote na vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko mkononi mwake kwa sababu tu ameoa mtoto wa Rais.
Wakati utamfundisha.
2024 ReduxWaziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Muda wote namsikiliza nilikuwa nalisubiri kulisikia neno "HAKI" lakini sijalisikia hata mahali pamoja katika hizo kelele zake , hakuna AMANI bila HAKI mchengerwa umeota pembeWaziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Kila zama na kitabu chake. Halafu, kuimba, kupokezana!Waziri mshamba kuliko mawaziri wote