Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Yaani watanzania wote hawana akili ispokuwa kundi fulani, ,(self-absorbed group)Kuoa mtoto wa Rais ndo kunamfanya awe na kiburi hivyo. Anajiona nchi yote ipo mikononi mwake. Anaona wanancho wote na vyombo vyote vya ulinzi na usalama viko mkononi mwake kwa sababu tu ameoa mtoto wa Rais.
Wakati utamfundisha.
Msitutishe nchi hii ni yetu sote na hakuna anayevuruga amani ila tunapinga uonevu na wizi wa kura Ili tupate viongozi tunaowataka watuongoze.Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Hawa wana hamu ya mbokoMsitutishe nchi hii ni yetu sote na hakuna anayevuruga amani ila tunapinga uonevu na wizi wa kura Ili tupate viongozi tunaowataka watuongoze.
MIMI MPAKA LEO SIJUI, HIVI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MAANA YAKE NINI, NA YAPI HAYO MAMBO YA NDANI????????Ameshakuwa waziri wa mambo ya ndani.
Ndio wakuu wa mikoa wako chini ya TAMISEMI
Lakini wana majukumu tofauti ya wizara (being strategic implementors wa tasks tofauti za serikali) na ndio maana pia wapo kwenye kamati ya ulinzi (hayo ni majukumu ya mambo ya ndani na ulinzi).
Maana yake ni kwamba uwepo wa wakuu wa mikoa kwenye kamati za ulinzi wa mkoa; maelekezo yao kwenye maswala hayo yanatoka mambo ya ndani au ulinzi.
Isitoshe kamati ya ulinzi ya mkoa inajumuisha RPC na mwakilishi wa jeshi kutokana na issues zake. Watajadili mambo kutokana na tishio la usalama.
Mchengerwa hana mamlaka ya kuwaagiza wakuu wa mikoa kuhusu mambo ya ulinzi na usalama.
Hata siasa zenyewe wanajua basi au majukumu yao zaidi ya kupewa nafasi tu kwa utaratibu wa nepotism.
Sasa sisemi CDM mkawadanganye watu wakaumizwe, watanzania hawako tayari kwa hiyo njia yenu. Muwe na huruma na watoto wa watu.
Alikadhalika kauli ya Mchengerwa ni ya mtu alielewa madaraka.
Hili ni jukwaa la siasa, kama hujui madaraka ya mawaziri wako na taasisi zilizo chini yao. Kuja kuchangia kwenye hili jukwaa umepotea njia.MIMI MPAKA LEO SIJUI, HIVI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MAANA YAKE NINI, NA YAPI HAYO MAMBO YA NDANI????????
No Reform no election imemtikisa mchengerwa.Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Mapenzi na uongozi hizo ndo shida zake. Hapo linajiona limeshafika kwenye ufalme.Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Mkuu naomba nikusahihishe kitu.Ameshakuwa waziri wa mambo ya ndani.
Ndio wakuu wa mikoa wako chini ya TAMISEMI
Lakini wana majukumu tofauti ya wizara (being strategic implementors wa tasks tofauti za serikali) na ndio maana pia wapo kwenye kamati ya ulinzi (hayo ni majukumu ya mambo ya ndani na ulinzi).
Maana yake ni kwamba uwepo wa wakuu wa mikoa kwenye kamati za ulinzi wa mkoa; maelekezo yao kwenye maswala hayo yanatoka mambo ya ndani au ulinzi.
Isitoshe kamati ya ulinzi ya mkoa inajumuisha RPC na mwakilishi wa jeshi kutokana na issues zake. Watajadili mambo kutokana na tishio la usalama.
Mchengerwa hana mamlaka ya kuwaagiza wakuu wa mikoa kuhusu mambo ya ulinzi na usalama.
Hata siasa zenyewe wanajua basi au majukumu yao zaidi ya kupewa nafasi tu kwa utaratibu wa nepotism.
Sasa sisemi CDM mkawadanganye watu wakaumizwe, watanzania hawako tayari kwa hiyo njia yenu. Muwe na huruma na watoto wa watu.
Alikadhalika kauli ya Mchengerwa ni ya mtu alielewa madaraka.
Anajisikia sana huyu shoga sababu ya yule msagajiWaziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.
Mchengerwa ametoa maagizo hayo wakati akiweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa shule mpya ya sekondari ya Lwanjilo, akiwa kwemye ziara yake ya siku moja mkoani Mbeya, ambapo amesema serikali haiwezi kumvumilia mtu yeyote anayeleta chokochoko kwa kutikisa kiberiti kwa mambo ya uvunjifu wa amani tuliyo nayo iliyoasisiwa na viongozi wetu Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere na Amani Abeid Karume.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Awali akiwasikisha taarifa ya ujenzi wa shule hiyo mpya ya sekondari Lwanjilo, mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Mbeya Ericah Yegela amesema ujenzi wa shule hiyo unaoghalimu zaidi ya billioni moja unakwenda kusaidia wanafunzi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata elimu.
Mkuu naomba nikusahihishe kitu.
Hizo kamati za ulinzi na usalama ambazo katibu wake ni Afisa Usalama wa Taifa Mkoa kwa ngazi ya Mkoa au Wilaya kwa ngazi ya Wilaya zina repoti kwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa ambaye yupo Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora na sio wizara ya Mambo ya ndani na ulinzi.
Huyu jamaa mshamba sana...yeye kuwa mkwe wa Rais anaona kamaliza kila kitu...kichwa cheupe kabisa....Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya zote nchini kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wamekuwa wakihusika na uvunjifu wa amani kwenye maeneo yao.