PreGE2025 Mchengerwa: Anayedhani anaweza kutingisha kiberiti, ajaribu na atakiona

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi wakuu wa mikoa wapo chini ya tamisemi?
 
Haya ndio madhara na upole wa watanzania.

Huyu alipaswa ahukumiwa hapahapa na mapema sana ili watu wote waone madhara ya kuwa kiongozi mjinga.
 
Wale walio ua Mzee kiberiti wapo wap?
 
Waziri mshamba kuliko mawaziri wote

Awaulize wakina mpina, bashiru, polepole na ndungai walivyokuwa na kiburi sasahivi wanacho?

Ushamba wa madaraka
Mama Mkwe wake kakosa amani kwa matendo yake maovu kwa tamaa ya madaraka. Anawatisha Wakuu wa mikoa/wilaya ambao wengine hata hawajateuliwa na Mama mkwe wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…