Mchengerwa Awafunda Walimu, Awataka Wawe Wazalendo Kuzingatia Maadili

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI​

Na John Mapepele

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.

Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau wa elimu wa Wilaya ya Rufiji uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Bibi Titi Mohamed, ambapo yeye mwenyewe pia alitunukiwa tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake katika sekta ya elimu wilayani Rufiji.

"Katika hali ya kawaida Serikali imeboresha mazingira na miundombinu ya sekta ya elimu kilichobaki ni kwa sisi walimu kutanguliza uzalendo ili kuinua kiwango cha elimu katika ngazi zote" . Amesisitiza Mhe. Mchengerwa

Aidha, amesisitiza walimu kutambua wajibu wao na kwamba Serikali haitaweza kusita kuwachukulia hatua za kinidhamu Walimu na Maafisa Elimu ambao watakuwa wazembe katika utekelezaji wa majukumu yao.

Katika taarifa ya Wilaya ya Rufiji kwa Mhe. Waziri, iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Rufiji, bwana Simon Berege, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wanaohitimu darasa la Saba kutoka 3135 mwaka 2020 hadi wanafunzi 3715 mwaka 2024.

Idadi ya shule za Awali na Msingi zimeongezeka kutoka 48 mwaka 2021 Hadi 63 mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la shule 15 sawa na asilimia 31.3.

Pia vyumba vya madarasa vimeongezeka kutoka vyumba 377 mwaka2921 hadi vyumba566 mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la vyumba vya madarasa 189 sawa na asilimia 50. 1

Aidha, katika mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa, Halmashauri ya Mji wa Rufiji imefanikiwa kushinda kwa nafasi ya kwanza katika michezo ya mpira wa miguu, pete na riadha huku ikishika nafasi ya pili kwenye mpira wa mikono hivyo kushika nafasi ya pili ya ujumla katika mashindano hayo.

Katika mkutano huo Mhe.Waziri Mchengerwa alikabidhi makombe hayo kwa shule na baadaye kupokea msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya CRDB.
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.07.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.07.jpeg
    210.7 KB · Views: 32
  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.08.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.08.jpeg
    437 KB · Views: 30
  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.11.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.11.jpeg
    354.5 KB · Views: 39
  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.10.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.10.jpeg
    475 KB · Views: 31
  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.09 (1).jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.09 (1).jpeg
    531.3 KB · Views: 31
  • WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.09.jpeg
    WhatsApp Image 2025-06-04 at 12.26.09.jpeg
    448.9 KB · Views: 30
Wawe wazalendo!!!? kama kina nani?
wawe na maadili!!? kama kina nani?

POV:UZALENDO= UMASKINI
 
MHE. MCHENGERWA AWAFUNDA WALIMU AWATAKA WAWE WAZALENDO, KUZINGATIA MAADILI​

Na John Mapepele

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametoa rai kwa walimu nchini kuwa wazalendo na kuzingatia weledi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi.

Mhe. Mchengerwa ametoa rai hiyo kwenye mkutano wa walimu na wadau wa elimu wa Wilaya ya Rufiji uliofanyika kwenye ukumbi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Bibi Titi Mohamed, ambapo yeye mwenyewe pia alitunukiwa tuzo ya heshima ya kutambua mchango wake katika sekta ya elimu wilayani Rufiji.

"Katika hali ya kawaida Serikali imeboresha mazingira na miundombinu ya sekta ya elimu kilichobaki ni kwa sisi walimu kutanguliza uzalendo ili kuinua kiwango cha elimu katika ngazi zote" . Amesisitiza Mhe. Mchengerwa

Aidha, amesisitiza walimu kutambua wajibu wao na kwamba Serikali haitaweza kusita kuwachukulia hatua za kinidhamu Walimu na Maafisa Elimu ambao watakuwa wazembe katika utekelezaji wa majukumu yao.

Katika taarifa ya Wilaya ya Rufiji kwa Mhe. Waziri, iliyoandaliwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Rufiji, bwana Simon Berege, inaonyesha kuwa kumekuwa na ongezeko la wanafunzi wanaohitimu darasa la Saba kutoka 3135 mwaka 2020 hadi wanafunzi 3715 mwaka 2024.

Idadi ya shule za Awali na Msingi zimeongezeka kutoka 48 mwaka 2021 Hadi 63 mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la shule 15 sawa na asilimia 31.3.

Pia vyumba vya madarasa vimeongezeka kutoka vyumba 377 mwaka2921 hadi vyumba566 mwaka 2025 ikiwa ni ongezeko la vyumba vya madarasa 189 sawa na asilimia 50. 1

Aidha, katika mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya mkoa, Halmashauri ya Mji wa Rufiji imefanikiwa kushinda kwa nafasi ya kwanza katika michezo ya mpira wa miguu, pete na riadha huku ikishika nafasi ya pili kwenye mpira wa mikono hivyo kushika nafasi ya pili ya ujumla katika mashindano hayo.

Katika mkutano huo Mhe.Waziri Mchengerwa alikabidhi makombe hayo kwa shule na baadaye kupokea msaada wa madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya CRDB.
Amewapa posho shilingi ngapi ngapi ili wamfanzie majambo mwezi Oktoba?
 
Wazalendo na waadilifu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu anakunja 600k per day kama posho mshahara million 18 per month kiinua mgongo kwa miaka 5, million 200, Mwalimu anayedanganywa mshahara kwa mwezi laki nne kiinua mgongo miaka 30 million 5
 
Back
Top Bottom