The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Dah...yanahitajika mapinduzi."Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Duu hatari sana"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
wezi wa kura waligawana maokoto!"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
Na kuna wapumbavu wanawashabikia CCMPumbavu kabisa.
Uuuuwiiiii!!! Uuuuwiiii!! Mungu iokoe Tanzania yetu!"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Kumbe ndio maana Mchengerwa Li kifua limetuna kama nyangumil alikula Bilioni 200 na usheeHY M2 NI MPUMBAFU HII NI UCHAGUZI AU UCHAGUZI?
Si bora mngeziacha tu hivi kulikua na uchaguzi..?"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Sio ndugu, ni mama mkwe wake....Uyo boss atakuwa anajipimia kinachomtosha nasikia wanaundugu na samian
Ndizo pesa zilizotumika kununua wapinzani maeneo yote yaliokuwa na upinzani."Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Tajir mkubw huyu mpaka hawa wakimaliza muda wao wShajivebea vya kutoshaUyo boss atakuwa anajipimia kinachomtosha nasikia wanaundugu na samian