mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kama ngoma vileAti anasemaje! Bilioni 200+, Kweli watanzania tunachezewa
Ova
Kama ngoma vileAti anasemaje! Bilioni 200+, Kweli watanzania tunachezewa
Wizi mtupu hakukuwa na uchaguzi"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Nimepata leo taarifa ya Mkutano Mkuu wa 30 wa wanahisa tarehe 17/05/2025.CRDB imejiingiza kwenye mahusiano ya kisiasa yanayoweza kuathiri mitaji wa wawekezaji. Kwa mara ya kwanza CRDB hawajatoa taarifa ya mkutano wa wanahisa mapema kama ilivyozoeleka. 🤔
Dah...yanahitajika mapinduzi
Usimpesifa hiyo sema jizi kubwaTajir mkubw huyu mpaka hawa wakimaliza muda wao wShajivebea vya kutosha
Ova
Bilioni 90 zingetosha kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Asee wanaiba bila aibuTajir mkubw huyu mpaka hawa wakimaliza muda wao wShajivebea vya kutosha
Ova
Hapo ndipo alipopiga pesa kubwa kiasi cha kuweza kununua maghorofa ya wachina kwa mabilioni ya pesa taslimu"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Pesa nyingi sana kufanyia maigizo.shilingi bilioni 247.03
Afadhari zingeenda kwenye BIMA YA AFYA"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Yaani robo trillion kwa upuuzi ule! Samia na mkweo Mungu anawaona"Mwaka 2024/25 Ofisi ya Rais TAMISEMI iliidhinishiwa shilingi bilioni 254.82 kwa ajili ya kuratibu na kusimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024. Kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 247.03 ni fedha kutoka serikali kuu na shilingi bilioni 7.78 ni fedha za mapato ya ndani ya halmashauri kwa ajili ya uchaguzi. Uchaguzi huu ulihusisha uchaguzi wa viongozi katika ngazi ya msingi ambao ni wenyeviti wa vijiji, mitaa, vitongoji, wajumbe wa halmashauri za vijiji na wajumbe wa kamati za mitaa"- Mchengerwa.
Waziri wa TAMISEMI Mohammed Mchengerwa ameyasema hayo Jumatano Aprili 16,2025 bungeni Jijini Dodomacwakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026.
View attachment 3306185
Utapeli huo 🚮Mchengerwa: Bilioni 254.82 zilitumika uchaguzi serikali za mitaa
Baada ya kutoa angalizo na mimi nimetumiwa taarifa jioni hii..... Mpaka tupige nduru siku hizi? kwa nini? 😳Nimepata leo taarifa ya Mkutano Mkuu wa 30 wa wanahisa tarehe 17/05/2025.