LGE2024 Mchengerwa: Bilioni 254.82 zilitumika uchaguzi serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wizi mtupu hakukuwa na uchaguzi
 
CRDB imejiingiza kwenye mahusiano ya kisiasa yanayoweza kuathiri mitaji wa wawekezaji. Kwa mara ya kwanza CRDB hawajatoa taarifa ya mkutano wa wanahisa mapema kama ilivyozoeleka. 🤔
Nimepata leo taarifa ya Mkutano Mkuu wa 30 wa wanahisa tarehe 17/05/2025.
 
Bilioni 90 zingetosha kuendesha uchaguzi wa serikali za mitaa
Nyingi hapo watu wamelipana posho,(perdiem) na kuhongana hongana huko CCM
 
Hapo ndipo alipopiga pesa kubwa kiasi cha kuweza kununua maghorofa ya wachina kwa mabilioni ya pesa taslimu
 


Kwa nini Mchengerwa anakuwa mwongo kiasi hiki!

Angesema tu kuwa bilipni 254 zilitumika kulamilisha zoezi la kuharibu uchaguzi wa 2024, ikiwa ni pamoja na kuwalipa pesa ya kutosha watekaji na wauaji wa wagombea wa upinzani.
 
Eti nae alienda KUHIJI ..huyu Mungu tumezidi kufanya zaidi ya Athuman
 
Afadhari zingeenda kwenye BIMA YA AFYA
 
Yaani robo trillion kwa upuuzi ule! Samia na mkweo Mungu anawaona
 
Na uchaguzi mkuu ujao zitatumika 750 bilioni kupeleleka mazezeta ya CCM bungeni
 
Nimepata leo taarifa ya Mkutano Mkuu wa 30 wa wanahisa tarehe 17/05/2025.
Baada ya kutoa angalizo na mimi nimetumiwa taarifa jioni hii..... Mpaka tupige nduru siku hizi? kwa nini? 😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…