Mchengerwa cheo ni dhamana kaka, jifunze kuheshimu kazi na maamuzi ya wengine

Kwa hiyo MALORI yapite katika barabara za MWENDOKASI ?!!!

Sababu ya hayati JPM kuleta SGR ni kupunguza uharibu wa miundombinu ya barabara...

Leo hii turuhusu malori mazito yapite katika BRT ?!!

Hebu kuwa "serious".....
 
Bora umemkumbusha,kuna wakati kina Heri James na Kakake (jina nimemsahau),walikuwa hawashikiki.
Argumentum ad hominem...

Hoja ni kuilinda miundombinu ya MWENDOKASI na si hayo mambo binafsi yasiyo na uhusiano......
 
Waziri hakukataa suala la magari madogo kupita katika barabara ya MWENDOKASI....

Hoja yake ni kupita kwa MALORI....mkuu unafeli wapi kumwelewa?!!
 
Lakini hizo barabara za mwendokasi si zimetengenezwa kwa zege kali, ambapo ni imara zaidi ya hizi lami za kawaida. Sasa iweje malori kupita kwa muda mfupi zipasuke tena, nadhani hoja hapo ni ubora wa barabara zenyewe za mwendokasi na si malori kupita humo. Kitonga pale mlimani lami ilikuwa inatengeneza mawimbi kila wakati, walipokuja kumwaga zege, mpaka leo barabara iko sawa na malori yanapita kila siku tena na mizigo mizito.
 
Mchengerwa anahusika na kufanya uchafuzi kwenye chaguzi za serikali za mitaa, ni UHALIFU mkubwa kabisa katika Taifa hili, na huyo Chalamila aliyeamuru Wanajeshi wafanye usafi siku ya maandamano ya AMANI ya CHADEMA ni wale wale wote hao hawafai.
 
toa ushahidi kuwa barabara zote zinajengwa chini ya kiwango
 
Kuhusu malori na magari makubwa(trucks na buses za mikoa) ni traffic walitakiwa wazidhibiti zisiingie mwendokasi.
Buses kubwabza mikoani hazifikii uzito wa buses za BRT hivyo haziwezi kuharibu barabara hizo.
Mapori ndiyo yazuiliwe.
 
Utafikiri huu uzi ni wa Chalamila!
Lakini anyway!
Ndiyo tafsiri ya Kifua Kipana-Mama.
 
Acha chuki mkuu! Mambo ya mkwewe ni rais yameingiaje
 
Kwa hiyo MALORI yapite katika barabara za MWENDOKASI ?!!!

Sababu ya hayati JPM kuleta SGR ni kupunguza uharibu wa miundombinu ya barabara...

Leo hii turuhusu malori mazito yapite katika BRT ?!!

Hebu kuwa "serious".....
Wakumdharau huyo jamaa! Katumwa na Chalamila
 
Tatizo bi mkubwa na vichengerwa vyake!!
Hivi mama mkwe anaweza kumfokea mume wa bintiye?
 
Shit, shit full of shit.
 
Mchengerwa anahusika na kufanya uchafuzi kwenye chaguzi za serikali za mitaa, ni UHALIFU mkubwa kabisa katika Taifa hili, na huyo Chalamila aliyeamuru Wanajeshi wafanye usafi siku ya maandamano ya AMANI ya CHADEMA ni wale wale wote hao hawafai.
Mchengerwa ana dhambi sana mbele za Mungu. Ameukosea umma. Na kutubu lazima arudi kwa umma kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…