Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI.

Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza na Vyombo vya Habari kuanzia saa 5 asubuhi hii. Itakua Mubashara TAMISEMI TV, usikose kufuatilia kujua TAMISEMI ina nini. Saa 5 asubuhi hii.

IMG-20240320-WA0005.jpg
 
Wizara hizi tatu ndio injini ya Taifa , wizara ya fedha , wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya nje.
 
Wizara hizi tatu ndio injini ya Taifa , wizara ya fedha , wizara ya ulinzi na wizara ya mambo ya nje.
 
Kama vile nawaona jobless waalimu na mauguzi wakiwa makini kufatilia
 
Tumezoea maneno yasiyotekelezeka!!

Japo Nina Imani nae kama mtu!lakini Sina Imani kama ayasemayo yatatekelezwa ipasavyo!!
 
Back
Top Bottom