technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Fungua maelezo kamshutumu nani huyo bwana ana kigugumizi inaweza ikawa zile ta ta ta tata tatata taakataka zikawa zimekufanya ukahisi amekushutumu kumbe kigugumizi chake kipo hivyohawezi kumshutumu Mtanzania yeyote
Pesa za kujenga anaweza akawa nazo.....issue ni kwamba tanroads ilikataa zisijengwe pale but c unajua mkwee akalazimishaHii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.
Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote
Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
Mwizi huyoFungua maelezo kamshutumu nani huyo bwana ana kigugumizi inaweza ikawa zile ta ta ta tata tatata taakataka zikawa zimekufanya ukahisi amekushutumu kumbe kigugumizi chake kipo hivyo
CCM ni matakataka yote, lakini hilo haliondoi ukweli wa alichokisema Mchengerwa.Hii kitu ni nzuri kwa Watanzania watu CCM kugombana wenyewe kwa wenyewe.
Lakini mchengerwa ni fisadi na mwizi hawezi kumshutumu Mtanzania yeyote
Zile frem za mbagala pembeni ya kituo Cha mwendokasi atuambie ametoa wapi pesa za kujanga frem pale?.
Amesema kweli, hao vijana wa ccm wamezoea kuomba hela hadi imekuwa kero. Ila Mchengerwa atambue wanamuomba kwakuwa wanajua ana hela za wizi, na ccm ni chama kilichochokwa, huwezi kukitetea bila kulipwa.Ila alchokisema ni sahihi kabisa......tuna vijana wa ovyo sana waliojificha kwenye siasa......