Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Yale Yale ya chato kujengwa hospitali ya rufaa ya Kanda yanajirudia rufiji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni majangili tupu yaliyobakiNa hao ndio walioleta Ukombozi Tanzania,only Nyerere na Mkapa hao wengine uongozi ni zero.
Uwanja wa ndege ni aibu tupuYale Yale ya chato kujengwa hospitali ya rufaa ya Kanda yanajirudia rufiji
Halafu hawaoni hata aibu kusema mitano tena ya nini kwa utaratibu wa upendeleo wa kimaendeleo kwa rasilimali za Nchi si sawa kabisa. Maadili ya Viongozi yameishia wapi jamani?Chato imekufa, Nyerere na Mkapa sijui waliwezaje, last time kila kitu ilikuwa Msoga na Bagamoyo
Hatuna viongozi tuna majangili tupuHalafu hawaoni hata aibu kusema mitano tena ya nini kwa utaratibu wa upendeleo wa kimaendeleo kwa rasilimali za Nchi si sawa kabisa. Maadili ya Viongozi yameishia wapi jamani?
Hamna kitu kabisa 😄Rufiji haina hadhi hiyo.lakini Kwa kuwa aliyesema ni mkwe wa rais,itawewezekana hata kuipa hadhi ya kuwa jiji la rufiji
Labda itakuwa hapo ikwiriri postaWapi sasa kibiti au Ikwiriri? Rufiji ilishatengwa
Uwanja umegeuka gofu fedha za Wananchi zimeteketezwa.Uwanja wa ndege ni aibu tupu
Awajenge bandari ndogo kwanza hapo nyamisati aache maneno manenoDuh aiseee
Sikiliza video na soma ,unakurupukaWapi sasa kibiti au Ikwiriri? Rufiji ilishatengwa
Kule nyuma ndo bouncer wake?😁😁Sikiliza video na soma ,unakurupuka
Kwa kweli hapa watakuwa wamefanya double standard.... Kama waliikataa Chato, basi na Rufiji ikataliwe.... Maana vigezo ni vilevile....Chato Waliikataa Kuwa Mkoa
Rufiji Hoyee
Hongereni Ikwiriri na RufijiKwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri.
Kana kwamba haitoshi,ikumbukwe kwamba Mkuranga imeomba kuwa Manispaa ambapo Stendi kubwa ya Mabasi inaendelea na Ujenzi.👇👇
=======
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Kujenga soko kubwa la kisasa pamoja na Kituo kikuu cha Mabasi wilayani Rufiji Mkoani pwani mara baada ya kuipandisha hadhi wilaya hiyo na kuwa Halmashauri ya Mji wa Rufiji.
Kulingana na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa wakati akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara Ikwiriri wilayani humo, amesema utekelezaji wa miradi hiyo mikubwa unatarajiwa kuanza rasmi mwanzoni mwa Mwezi Novemba mwaka huu 2024.
Mhe. Mchengerwa amewaambia wananchi wa Rufiji kuwa ujenzi wa soko hilo litakalokuwa na maduka zaidi ua 122, Vizimba zaidi ya 100 na vibanda vya wafanyabiashara ndogondogo utagharimu fedha taslimu shilingi Bilioni 14 huku pia Serikali ya awamu ya sita ikiahidi kujenga Jengo la Utawala katika Halmashauri hiyo ya Mji litakalokuwa la Ghorofa tatu zenye Ofisi zaidi ya 50 na kugharimu takribani shilingi Bilioni 10.
My Take
Halmashauri zilizokidhi vigezo na kuwasilisha maomba mapema kabla ya kina Rufiji nazo zipandishwe hadhi pia mfano Mbalizi Kwa Mwamposa.
Pia soma: Rais Samia akataa ombi la kuipandisha hadhi Mbalizi kuwa Halmashauri ya mji
Ombi la Chato ilikuwa iwe mkoa, Rufiji wanaomba iwe Halmashauri ya MjiKwa kweli hapa watakuwa wamefanya double standard.... Kama waliikataa Chato, basi na Rufiji ikataliwe.... Maana vigezo ni vilevile....
Inapendeza kuwa hivyo asante kwa kazi nzuri.Kwa mujibu wa Waziri wa Tamisemi bwana Mohammed Mchengerwa amenukuliwa akisema kuwa Rais Samia Ameridhia Iliyokuwa Halmashauri ya Rufiji kupewa Hadhi ya Mji ambapo Jengo kubwa la Makao Makuu la zaidi ya Bilioni 10 litajengwa Ikwiriri.