WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Ndiyo utaratibu wa CCM mkitaka maendeleo basi muwe na kiongozi mkubwa Serikalini.Rasilimali za Nchi zinaelekezwa maeneo walipo Viongozi wa karibu na Mkuu wa Nchi. Kila Mtu akipata cheo ndio maendeleo yanaelekezwa huko. Kwani hakuna kanuni au sheria hadi suala lishinikizwe kutokana na cheo?