Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Kwa hiyo kwa bandiko lako Mchengerwa anashindaa hii ligii!!!KWA SASA TANZANIA HAKUNA MWANASIASA UKWELI KAMA MOHAMED MCHENGERWA
Mhe. Mchengerwa amewahi kushika nafasi nyingi tu kama Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo; Waziri wa Maliasili na Utalii; na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Kwa sasa ni Waziri wa Afya.
Nafasi hiyo ya Uwaziri wa Afya inamfanya kuwa mjumbe wa Vikao vya Baraza la Mawaziri.
Ikumbukwe hivi ni vikao vya ngazi ya juu ya Serikali vinavyoshughulikia sera, maamuzi na masuala muhimu ya kitaifa, lakini pia nafasi yake ya ubunge wa Rufiji inamfanya awe Mbunge wa Bunge la JMT pia huwa anashiriki vikao mbalimbali vya kamati za bunge.
Oktoba 2026 ametuambia jambo muhimu sana kwamba; viongozi na baadhi ya vijana wa UVCCM wanajihusisha na rushwa na hawafanyi kazi bila kuhongwa.
Hivi mtu mwenye nyadhifa zote hizo aje kutuambia jambo sisi tunakataa vipi ? Na alisisitiza kwamba yeye huwa hafichi jambo!
Ni muda sasa wa kuwaonya vijana wa UVCCM kuacha kuwa na misimamo isiyoeleweka hii inaonyesha kuwa kauli za Mchengerwa ni ya ukweli
Kwa hiyo ukimuona UVCCM anaongea jambo mpaka mishipa imemtoka au anatetea uovu ujue hiyo ni RUSHWA inaongea.
Kwa hili asante sana Mhe. Mchengerwa kuusema ukweli ambao wengi wanaogopa 🙏
Mohamed Omary Mchengerwa ni Mwanachama mtiifu wa CCM na ni mbunge wa jimbo la Rufiji ana shahada ya sheria (LLB) aliipata Kampala International University na ana shahada ya uzamili ya sheria (LLM) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
USSR
Kitakachomwokoa ni kwamba ni mkwe wa rais otherwise alikuwa anaondoka. Kama nchimbi aliondoka wewe wadhani hizo nafasi na experience zingemwokoaKWA SASA TANZANIA HAKUNA MWANASIASA UKWELI KAMA MOHAMED MCHENGERWA
Mhe. Mchengerwa amewahi kushika nafasi nyingi tu kama Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo; Waziri wa Maliasili na Utalii; na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Kwa sasa ni Waziri wa Afya.
Nafasi hiyo ya Uwaziri wa Afya inamfanya kuwa mjumbe wa Vikao vya Baraza la Mawaziri.
Ikumbukwe hivi ni vikao vya ngazi ya juu ya Serikali vinavyoshughulikia sera, maamuzi na masuala muhimu ya kitaifa, lakini pia nafasi yake ya ubunge wa Rufiji inamfanya awe Mbunge wa Bunge la JMT pia huwa anashiriki vikao mbalimbali vya kamati za bunge.
Oktoba 2026 ametuambia jambo muhimu sana kwamba; viongozi na baadhi ya vijana wa UVCCM wanajihusisha na rushwa na hawafanyi kazi bila kuhongwa.
Hivi mtu mwenye nyadhifa zote hizo aje kutuambia jambo sisi tunakataa vipi ? Na alisisitiza kwamba yeye huwa hafichi jambo!
Ni muda sasa wa kuwaonya vijana wa UVCCM kuacha kuwa na misimamo isiyoeleweka hii inaonyesha kuwa kauli za Mchengerwa ni ya ukweli
Kwa hiyo ukimuona UVCCM anaongea jambo mpaka mishipa imemtoka au anatetea uovu ujue hiyo ni RUSHWA inaongea.
Kwa hili asante sana Mhe. Mchengerwa kuusema ukweli ambao wengi wanaogopa 🙏
Mohamed Omary Mchengerwa ni Mwanachama mtiifu wa CCM na ni mbunge wa jimbo la Rufiji ana shahada ya sheria (LLB) aliipata Kampala International University na ana shahada ya uzamili ya sheria (LLM) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
USSR
Ili mambo yasiwe mengi angefanya poa km angewataja kwa majina na akiwa na ushahidi mkononi wa picha na video sio maneno matupu km hayo anaonekana mnafiki na mfitini mkubwa, halafu mtu mwenye nyazifa km hio inabidi ajipime kipi cha kuongea na kipi sio cha kuongea ikiwa hana ushahidi wa kujitosheleza, haya sawa kasema wajafanya rushwa akiambiwa uthibitisho upo wapi tuonyeshee hio picha au video mtu akiwa anatoa rushwa au akiwa anapokea rushwa atafanyaje au ndio kigugumizi?Hivi mtu mwenye nyadhifa zote hizo aje kutuambia jambo sisi tunakataa vipi ? Na alisisitiza kwamba yeye huwa hafichi jambo!
Mpaka aseme hivyo ni anaelewa anachokitamka, ila reaction za hao UVCCM zinatia mashaka baada ya Ile kauli, kama kila Jambo wanamalizana huko. Huku Sisi tusingejua chochote, kuna ukweli alichokisema ndio maana mlio ni mkubwaIli mambo yasiwe mengi angefanya poa km angewataja kwa majina na akiwa na ushahidi mkononi wa picha na video sio maneno matupu km hayo anaonekana mnafiki na mfitini mkubwa, halafu mtu mwenye nyazifa km hio inabidi ajipime kipi cha kuongea na kipi sio cha kuongea ikiwa hana ushahidi wa kujitosheleza, haya sawa kasema wajafanya rushwa akiambiwa uthibitisho upo wapi tuonyeshee hio picha au video mtu akiwa anatoa rushwa au akiwa anapokea rushwa atafanyaje au ndio kigugumizi?
KWA SASA TANZANIA HAKUNA MWANASIASA UKWELI KAMA MOHAMED MCHENGERWA
Mhe. Mchengerwa amewahi kushika nafasi nyingi tu kama Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo; Waziri wa Maliasili na Utalii; na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Kwa sasa ni Waziri wa Afya.
Nafasi hiyo ya Uwaziri wa Afya inamfanya kuwa mjumbe wa Vikao vya Baraza la Mawaziri.
Ikumbukwe hivi ni vikao vya ngazi ya juu ya Serikali vinavyoshughulikia sera, maamuzi na masuala muhimu ya kitaifa, lakini pia nafasi yake ya ubunge wa Rufiji inamfanya awe Mbunge wa Bunge la JMT pia huwa anashiriki vikao mbalimbali vya kamati za bunge.
Oktoba 2026 ametuambia jambo muhimu sana kwamba; viongozi na baadhi ya vijana wa UVCCM wanajihusisha na rushwa na hawafanyi kazi bila kuhongwa.
Hivi mtu mwenye nyadhifa zote hizo aje kutuambia jambo sisi tunakataa vipi ? Na alisisitiza kwamba yeye huwa hafichi jambo!
Ni muda sasa wa kuwaonya vijana wa UVCCM kuacha kuwa na misimamo isiyoeleweka hii inaonyesha kuwa kauli za Mchengerwa ni ya ukweli
Kwa hiyo ukimuona UVCCM anaongea jambo mpaka mishipa imemtoka au anatetea uovu ujue hiyo ni RUSHWA inaongea.
Kwa hili asante sana Mhe. Mchengerwa kuusema ukweli ambao wengi wanaogopa 🙏
Mohamed Omary Mchengerwa ni Mwanachama mtiifu wa CCM na ni mbunge wa jimbo la Rufiji ana shahada ya sheria (LLB) aliipata Kampala International University na ana shahada ya uzamili ya sheria (LLM) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
USSR
Vita ya Nchimbi ilikuwa ya Nchi mbili na piaa ilikuwa ya kambi mbili lakini hii ya Mchengerwa ni ndani ya Nchi moja na haina maslahi kwa bossKitakachomwokoa ni kwamba ni mkwe wa rais otherwise alikuwa anaondoka. Kama nchimbi aliondoka wewe wadhani hizo nafasi na experience zingemwokoa
Kitachomwokoa na mkwe wa mwenyekitiVita ya Nchimbi ilikuwa ya Nchi mbili na piaa ilikuwa ya kambi mbili lakini hii ya Mchengerwa ni ndani ya Nchi moja na haina maslahi kwa boss
Hey member Mko sawa!
Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM
Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡
Toa maoni bila kuwa mfitinii
Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!!
Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
Kauli ya Mh. Mchengerwa ni ya ukweli 100%, vijana ndiyo wasambaza hela za rushwa za wagombeaHey member Mko sawa!
Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM
Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡
Toa maoni bila kuwa mfitinii
Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!!
Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
Unataka wale wapi wakati hawana mshaharaNgoja watoane maini, tusikilizie milio itakapotokea, my take hawa UVCCM ni mapumbavu
Acha ujinga weweKauli ya Mh. Mchengerwa ni ya ukweli 100%, vijana ndiyo wasambaza hela za rushwa za wagombea