Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

Mohamed anaangalia mbele bi mkubwa akiondoka nae itakuwa kwisha
 
KWA SASA TANZANIA HAKUNA MWANASIASA UKWELI KAMA MOHAMED MCHENGERWA

Mhe. Mchengerwa amewahi kushika nafasi nyingi tu kama Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo; Waziri wa Maliasili na Utalii; na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Kwa sasa ni Waziri wa Afya.

Nafasi hiyo ya Uwaziri wa Afya inamfanya kuwa mjumbe wa Vikao vya Baraza la Mawaziri.

Ikumbukwe hivi ni vikao vya ngazi ya juu ya Serikali vinavyoshughulikia sera, maamuzi na masuala muhimu ya kitaifa, lakini pia nafasi yake ya ubunge wa Rufiji inamfanya awe Mbunge wa Bunge la JMT pia huwa anashiriki vikao mbalimbali vya kamati za bunge.

Oktoba 2026 ametuambia jambo muhimu sana kwamba; viongozi na baadhi ya vijana wa UVCCM wanajihusisha na rushwa na hawafanyi kazi bila kuhongwa.

Hivi mtu mwenye nyadhifa zote hizo aje kutuambia jambo sisi tunakataa vipi ? Na alisisitiza kwamba yeye huwa hafichi jambo!

Ni muda sasa wa kuwaonya vijana wa UVCCM kuacha kuwa na misimamo isiyoeleweka hii inaonyesha kuwa kauli za Mchengerwa ni ya ukweli

Kwa hiyo ukimuona UVCCM anaongea jambo mpaka mishipa imemtoka au anatetea uovu ujue hiyo ni RUSHWA inaongea.

Kwa hili asante sana Mhe. Mchengerwa kuusema ukweli ambao wengi wanaogopa 🙏

Mohamed Omary Mchengerwa ni Mwanachama mtiifu wa CCM na ni mbunge wa jimbo la Rufiji ana shahada ya sheria (LLB) aliipata Kampala International University na ana shahada ya uzamili ya sheria (LLM) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

USSR
Naona Mheshimiwa umeamua kujipigia promo. Hongera.
 
Kitakachomwokoa ni kwamba ni mkwe wa rais otherwise alikuwa anaondoka. Kama nchimbi aliondoka wewe wadhani hizo nafasi na experience zingemwokoa
Akili za watu maskini na wanaotoka kwenye koo za kitumwa bwana!!+
 
Ingekua miaka ya nyuma huko kuigusa uvccm wakakushukia wazimawazima ilikua hatari sana kwa mwanasiasa. Ila kwa siasa za sasa, ukizingatia mchengerwa anakaa meza moja na washika hatamu. Hapo mapema tu uvccm watabwatabwata halafu utasikia kimya, jambo limepita.
 
Sasa Mama mkwe ndio Mwenyekiti wa chama. Hapo nani unadhani Atashinda?

Bwana Mdogo kawaida Ajiandae kungolewatu. Usishundane na mwenye kisu🤣🤣
 
Sasa Mama mkwe ndio Mwenyekiti wa chama. Hapo nani unadhani Atashinda?

Bwana Mdogo kawaida Ajiandae kungolewatu. Usishundane na mwenye kisu🤣🤣
Kawaida anamaliza muda wake mwakani arudi kitaa au apewe mkuu wa wilaya maana ndio vyeo vya wenyeviti wa UVISISIEMU
MKUU NA INAONEKAA HATAKIWII
 
Back
Top Bottom