Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

Mohamed anaangalia mbele bi mkubwa akiondoka nae itakuwa kwisha
 
Naona Mheshimiwa umeamua kujipigia promo. Hongera.
 
Kitakachomwokoa ni kwamba ni mkwe wa rais otherwise alikuwa anaondoka. Kama nchimbi aliondoka wewe wadhani hizo nafasi na experience zingemwokoa
Akili za watu maskini na wanaotoka kwenye koo za kitumwa bwana!!+
 
Akili za watu maskini na wanaotoka kwenye koo za kitumwa bwana!!+
Huo ndio ukweli... Aliondoka spika wa bunge kwa kelele za ccm, akaondoka makamu wa rais kwa kelele za vijana wa ccm, hata huyu bila ukwe kuondoka ingekuwa haraka.
 
Ingekua miaka ya nyuma huko kuigusa uvccm wakakushukia wazimawazima ilikua hatari sana kwa mwanasiasa. Ila kwa siasa za sasa, ukizingatia mchengerwa anakaa meza moja na washika hatamu. Hapo mapema tu uvccm watabwatabwata halafu utasikia kimya, jambo limepita.
 
Sasa Mama mkwe ndio Mwenyekiti wa chama. Hapo nani unadhani Atashinda?

Bwana Mdogo kawaida Ajiandae kungolewatu. Usishundane na mwenye kisu🤣🤣
 
Sasa Mama mkwe ndio Mwenyekiti wa chama. Hapo nani unadhani Atashinda?

Bwana Mdogo kawaida Ajiandae kungolewatu. Usishundane na mwenye kisu🤣🤣
Kawaida anamaliza muda wake mwakani arudi kitaa au apewe mkuu wa wilaya maana ndio vyeo vya wenyeviti wa UVISISIEMU
MKUU NA INAONEKAA HATAKIWII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…