Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema hayo Mei 4, 2026 alipokuwa mkoani Mwanza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya “Jua Namba Zako”.
Waziri Mchengerwa amesisitiza kuwa Taifa lina uwezo wa kujenga mfumo imara wa afya unaodumu kwa muda mrefu, huku ushirikiano ukiwa ndio msingi mkuu wa mafanikio hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.