The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi.
Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye kikao kazi kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023 na matumizi ya mfumo kielektroniki wa ununuzi (NeST).
Aidha, Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Wakuu wa vitengo vya Manunuzi kwenye Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia takwa la kisheria la kutumia mfumo huo.