Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi.
Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye kikao kazi kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023 na matumizi ya mfumo kielektroniki wa ununuzi (NeST).
Aidha, Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Wakuu wa vitengo vya Manunuzi kwenye Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia takwa la kisheria la kutumia mfumo huo.

Utangulizi Katika mikutano ya kumuunga mkono Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika harakati zake za kugombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi wa mwaka 2025, kumekuwa na jambo la kushangaza sana na hakuna wanaccm wanataka kulisemea,wakati linatia doa serikali na Chama cha...
Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi.
Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye kikao kazi kuhusu Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023 na matumizi ya mfumo kielektroniki wa ununuzi (NeST).
Aidha, Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Wakuu wa vitengo vya Manunuzi kwenye Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia takwa la kisheria la kutumia mfumo huo.
KAMANDA WA TAKUKURU (M) MKOA WA KILIMANJARO S.L.P 1951 Moshi-Kilimanjaro Imetokea taharuki kuelekea uchaguzi Mkuu October 2025, Moshi Manispaa, baada ya kuonekana mtaani kwa risiti za malipo ya mamilion ya fedha , yasiyojulikana...