Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Hata mimi nikiwa Moro niliwahi pata chuma kimoja kitamu balaa,kikawa kinasisitizia sana kuwa niwe namjali Sana mke wangu na kwamba hayuko tayari kusikia kuwa ninamnyanyasa mke wangu kisa yeye,nikafurahi sana.

Aisee mizinga yake sasa ilikuwa balaa,mara mtoto Anataka Nguo za sikukuu,mara mama yake mzazi anahitaji pesa ya matumizi,mara oh!!, Nimpe hela ya vicoba,mara nimnunulie simu, yaani dah!!!,

Nikaja kumbwaga na mautamu yake.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Well said👏👏
Asipokua makini atajuta maisha yake yote
 
Noma sana. Mchepuko huwa watamu balaa!! Utajikuta umehamia jumla na kuisahau familia original
Michepuko wanajua kuchezaga na Key sana...Hapo mtoa mada anapangwa vizuri tena watoto wa kichaga ndio kabisaaa wamefunzwa ku manipulate wanaume ni balaa yeye anafikiri aliemzalisha akamkimbia ni chizi?
 
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!

Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
 
Hakika Mkuu, jamaa anasikitisha haya mambo angetakiwa ayafanye kwenye teenage au early twenties, ukishakuwa na ndoa you have something to lose kwa hiyo ni vema kuwa makini na tamaa zinazoweza kukupotezea direction moja kwa moja.
Na asipokua makini mwisho wa siku atajikuta yuko mwenyew na ndoa zote kashaharibu wamemkimbia aanze upya.

Inabidi apate lile somo la kuishi nasi kwa akili😃, msaidieni mwenzenu kabla hajaangamia
 
Labda tumuulize mtoa mada, ana muda gani tangia aingie mjini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…