Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
JF is never boring
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF is never boring
Kwani nasema uongo ndugu yangu? In Joe's voiceJF is never boring
Hajawahi kuona takro hahahaaaaa ataaga mashindano very soonUyu bado mgeni mjini!!hajui kutofautisha utapeli na ukabaji!!
Na kuwa mkali kila wakati bila sababu😂😂😂😂😂😂 halafu unajistukia NOMAAA!!
😂😂😂Kwani nasema uongo ndugu yangu? In Joe's voice
Tuanze mipango ya hitma sio?? Siku Mchepuko akitaka kumpeleka mtoto kwa Baba yake awe mpole tuInabidi ujiulize yule aliyemzalisha mbona hajamuoa?. Inaonekana wewe bado mgeni wa haya mambo, yani kutumia miezi 3 kumtongoza mwanamke ndio kumuona ametulia!
Hata mimi nikiwa Moro niliwahi pata chuma kimoja kitamu balaa,kikawa kinasisitizia sana kuwa niwe namjali Sana mke wangu na kwamba hayuko tayari kusikia kuwa ninamnyanyasa mke wangu kisa yeye,nikafurahi sana.Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Ni kawaida ya michepuko, baadaye hutatamani kabisa kurudi kwa mkeo.Mtoto anajua kupetipeti yani nikiwa naye najisikia amani sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Halafu anaaga kuwa atakuwa huko kwa Siku kadhaa.Tuanze mipango ya hitma sio?? Siku Mchepuko akitaka kumpeleka mtoto kwa Baba yake awe mpole tu
Well said👏👏Mara nyingi penzi likiwa changa kila mtu anajaribu kuficha mapungufu yake, hivyo kila mtu atamuona mwenzake amekamilika. Lakini kutokana na tafiti kuanzia miezi nane baada ya kuanza mahusiano kila mtu anakuwa anaanza kufeli kuficha mapungufu yake.
Kitu ninachoweza kukwambia mkuu, unafanya maamuzi penzi likiwa changa sana, jipe hata miaka miwili. Hakuna mwanamke anapenda kupangwa. Utakuja kurudi ukipiga ukunga hapa. Bora uchill na mke wako huyo ndiyo uliyemchagua bila mihemko kama huyu ambavyo amekuchanganya akili bado hujamjua kwa mengi. Tujifunze kuyapa mahusiano muda, maana binadamu tuna tabia ya kuamini watu kabla hatujawafahamu vizuri. Fahamu kwamba ukiwa comfortable unakuwa vulnerable zaidi.
"Confidence without clarity is a disaster."
Hakika Mkuu, jamaa anasikitisha haya mambo angetakiwa ayafanye kwenye teenage au early twenties, ukishakuwa na ndoa you have something to lose kwa hiyo ni vema kuwa makini na tamaa zinazoweza kukupotezea direction moja kwa moja.Well said👏👏
Asipokua makini atajuta maisha yake yote
Michepuko wanajua kuchezaga na Key sana...Hapo mtoa mada anapangwa vizuri tena watoto wa kichaga ndio kabisaaa wamefunzwa ku manipulate wanaume ni balaa yeye anafikiri aliemzalisha akamkimbia ni chizi?Noma sana. Mchepuko huwa watamu balaa!! Utajikuta umehamia jumla na kuisahau familia original
Hahahahah watu wanaingiaga fedhea kabisa yani anaweza akaungana na wananchi hata kwa kuchezea tope la ujenzi!😅😅😅Fuatilia maigizo ya kwenye kampeni, wagombea hadi huwapigia magoti wapigakura, subiri sasa ashinde, ndio utajua hujui
I'd nyingine ya Bujibuji Simba Nyanaume
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!Mara nyingi penzi likiwa changa kila mtu anajaribu kuficha mapungufu yake, hivyo kila mtu atamuona mwenzake amekamilika. Lakini kutokana na tafiti kuanzia miezi nane baada ya kuanza mahusiano kila mtu anakuwa anaanza kufeli kuficha mapungufu yake.
Kitu ninachoweza kukwambia mkuu, unafanya maamuzi penzi likiwa changa sana, jipe hata miaka miwili. Hakuna mwanamke anapenda kupangwa. Utakuja kurudi ukipiga ukunga hapa. Bora uchill na mke wako huyo ndiyo uliyemchagua bila mihemko kama huyu ambavyo amekuchanganya akili bado hujamjua kwa mengi. Tujifunze kuyapa mahusiano muda, maana binadamu tuna tabia ya kuamini watu kabla hatujawafahamu vizuri. Fahamu kwamba ukiwa comfortable unakuwa vulnerable zaidi.
"Confidence without clarity is a disaster."
Na asipokua makini mwisho wa siku atajikuta yuko mwenyew na ndoa zote kashaharibu wamemkimbia aanze upya.Hakika Mkuu, jamaa anasikitisha haya mambo angetakiwa ayafanye kwenye teenage au early twenties, ukishakuwa na ndoa you have something to lose kwa hiyo ni vema kuwa makini na tamaa zinazoweza kukupotezea direction moja kwa moja.
Labda tumuulize mtoa mada, ana muda gani tangia aingie mjini?Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!
Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
Wadau wanaulizaga mtu ana krismas ngapi mjini😂Labda tumuulize mtoa mada, ana muda gani tangia aingie mjini?