Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Hata mimi nikiwa Moro niliwahi pata chuma kimoja kitamu balaa,kikawa kinasisitizia sana kuwa niwe namjali Sana mke wangu na kwamba hayuko tayari kusikia kuwa ninamnyanyasa mke wangu kisa yeye,nikafurahi sana.

Aisee mizinga yake sasa ilikuwa balaa,mara mtoto Anataka Nguo za sikukuu,mara mama yake mzazi anahitaji pesa ya matumizi,mara oh!!, Nimpe hela ya vicoba,mara nimnunulie simu, yaani dah!!!,

Nikaja kumbwaga na mautamu yake.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mara nyingi penzi likiwa changa kila mtu anajaribu kuficha mapungufu yake, hivyo kila mtu atamuona mwenzake amekamilika. Lakini kutokana na tafiti kuanzia miezi nane baada ya kuanza mahusiano kila mtu anakuwa anaanza kufeli kuficha mapungufu yake.
Kitu ninachoweza kukwambia mkuu, unafanya maamuzi penzi likiwa changa sana, jipe hata miaka miwili. Hakuna mwanamke anapenda kupangwa. Utakuja kurudi ukipiga ukunga hapa. Bora uchill na mke wako huyo ndiyo uliyemchagua bila mihemko kama huyu ambavyo amekuchanganya akili bado hujamjua kwa mengi. Tujifunze kuyapa mahusiano muda, maana binadamu tuna tabia ya kuamini watu kabla hatujawafahamu vizuri. Fahamu kwamba ukiwa comfortable unakuwa vulnerable zaidi.
"Confidence without clarity is a disaster."
Well said👏👏
Asipokua makini atajuta maisha yake yote
 
Noma sana. Mchepuko huwa watamu balaa!! Utajikuta umehamia jumla na kuisahau familia original
Michepuko wanajua kuchezaga na Key sana...Hapo mtoa mada anapangwa vizuri tena watoto wa kichaga ndio kabisaaa wamefunzwa ku manipulate wanaume ni balaa yeye anafikiri aliemzalisha akamkimbia ni chizi?
 
Mara nyingi penzi likiwa changa kila mtu anajaribu kuficha mapungufu yake, hivyo kila mtu atamuona mwenzake amekamilika. Lakini kutokana na tafiti kuanzia miezi nane baada ya kuanza mahusiano kila mtu anakuwa anaanza kufeli kuficha mapungufu yake.
Kitu ninachoweza kukwambia mkuu, unafanya maamuzi penzi likiwa changa sana, jipe hata miaka miwili. Hakuna mwanamke anapenda kupangwa. Utakuja kurudi ukipiga ukunga hapa. Bora uchill na mke wako huyo ndiyo uliyemchagua bila mihemko kama huyu ambavyo amekuchanganya akili bado hujamjua kwa mengi. Tujifunze kuyapa mahusiano muda, maana binadamu tuna tabia ya kuamini watu kabla hatujawafahamu vizuri. Fahamu kwamba ukiwa comfortable unakuwa vulnerable zaidi.
"Confidence without clarity is a disaster."
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!

Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
 
Hakika Mkuu, jamaa anasikitisha haya mambo angetakiwa ayafanye kwenye teenage au early twenties, ukishakuwa na ndoa you have something to lose kwa hiyo ni vema kuwa makini na tamaa zinazoweza kukupotezea direction moja kwa moja.
Na asipokua makini mwisho wa siku atajikuta yuko mwenyew na ndoa zote kashaharibu wamemkimbia aanze upya.

Inabidi apate lile somo la kuishi nasi kwa akili😃, msaidieni mwenzenu kabla hajaangamia
 
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!

Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
Labda tumuulize mtoa mada, ana muda gani tangia aingie mjini?
 
Back
Top Bottom