Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Hahahaah tuendelee kwanza na huyu Mshakaji limbukeni wa mbususu, tumalize kwanza hili
Wanawake 90% ni wadogo zake shetani, wanaona mbali, wanakuvuta kama chatu anavuta mbwa, ukijiingiza mazima anajiviringisha kwenye mwili wako then anakunyongelea mbali...furasanists
 
Wanaume wanafki sana

Nyie mnaosema hamna mwanaume wa mwanamke mmoja leo ndo mnampopoa mwenzenu kiasi hiki??
Hujaelewa mada mkuu. Jamaa amenogewa na mchepuko anataka awe mke wa pili. Unaona hiyo sawa wakati ana mke kabisa na hana shida yoyote?! Na jamaa amechepuka kwa tamaa zake mwenyewe lakini anataka kujiharibia kila kitu alichojenga kwa miaka mingi.
 
Umenena ukweli mno humu ila pia huyo mtoto wa kike nae ana balaa sana! Yani binti wa kichaga huwa wanafunzwa ku manipulate wanaume toka kwa mama zao yeye mtoa mada anaona anapendwa sana eti!

Mwanamke akiwa anataka lake atakuwa malaika mbona utahisi ulichelewa kumfahamu! Ngoja alipate sasa atawavuruga ni balaa
Naona unaongea kwa experience [emoji1][emoji1]
 
Ni kweli mkuu huu mwaka inabid ni slim
Tatizo kitimoto na bia ndo bado najifunza kuviacha viende.
Waislam kwa inshu ya kuoa mko Safi kabisa
Mkuu kitimoto na bia kitu gani bana?

Vyote vina madhara makuu ndugu yangu. Usichelewe chelewe sasa kuslim shauri yako
 
Hahahaha yeye akili ameona awaweke wote pete ili ale mema ya nchi! Sema naaminigi kitu kimoja, ukimpenda mwanamke flani utakuwa nae vizuri ila ukiona umeanza kuchepuka tu jua kuna walakini utakuwa umeshajitokeza mathalani mke hakupi huduma stahiki au amejisahau!

Mwanamke akiwa anatekeleza wajibu wa mke by 100% basi jua kwamba hutakaa uwaze mchepuko hata kidogo!
Kuchepuka ni hulka tu ya mtu kuna wanawake wanatimiza yote lakini wanaume zao wanatoka nje. Na kuna baadhi humu wanaume washakiri wenyewe mboga moja haiwatoshi mnasemaga kubadili ladha hivyo kuchepuka ni tabia tu wala haisababishwi na mke kutotimiza wajibu wake.
 
mimi ni mwanaume, ilaa huyo dada ana akili kuliko wewe! anajuaa umeoa so hataa cha kukushawishi zaidi yaa kujivikaa ngozi ya kondooo (eti mjali mke wako) kaka jiulize:-

i) huyo aliyemzalisha yupo wap???
ii) kwa nn kamwachaa???

ushauri:
ndo kwanzaa bado famili yako changaa, mwelekeo ya familiaa huji imekaaje na piaa, sasa danganya na makalio, uweupe na vingine ukamsahau mke wako!

je wajuaa hii nguvu ya kuweze kumpangiaa nyumbaa ni baraka za mke wako unapelekaa kwa mwanamke mwingine!!!


Kaka jiwekeze achana na kuwekeza katika wanawake!

Labda aliyemzalisha alipatwa na mwanamke smart zaidi yake akatekwa mazima [emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ambavyo mke wa Jamaa anaenda kuwa single mother
 
Dah, wanawake wametuweka kwenye kona mbaya, ukicheza vibaya, unakatwa sharubu. Ujanja unaisha.[emoji23][emoji23]
Wanawake wa kichaga nshasikia harakati zao sana tu. Kitu kikubwa mwanaume anatakiwa awe nacho ni uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi. Ukiwa mzembe kama mtoa mada halafu unajiona mjanja umekwisha. Siku zote ukiona mambo yanaenda swadakta kwenye mahusiano ya nje jua kitu kizito kimekaribia kutua utosini mwako.

Jamaa atakuwa msukuma
 
Mchepuko ni sawa na kondakta wakati hujamlipa nauli huwa anakujali sana anaweza hata kukuita BABY ingawa una mandevu ili upande gari yake.

Ukishapanda ukajikuta umepeleza nauli ndo utajua wee ni baby au takoo!
 
Kuchepuka ni hulka tu ya mtu kuna wanawake wanatimiza yote lakini wanaume zao wanatoka nje. Na kuna baadhi humu wanaume washakiri wenyewe mboga moja haiwatoshi mnasemaga kubadili ladha hivyo kuchepuka ni tabia tu wala haisababishwi na mke kutotimiza wajibu wake.
Mie kimsingi mke akiwa ananihudumia inavyostahili siwezi chepuka sababu asili hio sina! Shida inakuja pale unaoa mke halafu anakuletea mamb za kingese
 
Maisha yana mambo mengi sana, nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yaani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimarangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara.

Huyo dada nimemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku aliponikubali amekuwa mwema sana, sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake. Nimeamua kumpangia nyumba yaani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu.
Ningekua mke wa kwanza ningekunyweshaa juice ya asali na tango usiku bila kujua asbuh ujikute peponi[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
Mchepuko ni sawa na kondakta wakati hujamlipa nauli huwa anakujali sana anaweza hata kukuita BABY ingawa una mandevu ili upande gari yake.

Ukishapanda ukajikuta umepeleza nauli ndo utajua wee ni baby au takoo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom