Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mchepuko alivyobadilisha maisha yangu

Mimi ni mwanaume, ilaa huyo dada ana akili kuliko wewe! anajuaa umeoa so hataa cha kukushawishi zaidi yaa kujivikaa ngozi ya kondooo (eti mjali mke wako) kaka jiulize:-

i) huyo aliyemzalisha yupo wap???
ii) kwa nn kamwachaa???

ushauri:
ndo kwanzaa bado famili yako changaa, mwelekeo ya familiaa huji imekaaje na piaa, sasa danganya na makalio, uweupe na vingine ukamsahau mke wako!

je wajuaa hii nguvu ya kuweze kumpangiaa nyumbaa ni baraka za mke wako unapelekaa kwa mwanamke mwingine!!!

Kaka jiwekeze achana na kuwekeza katika wanawake!
 
Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu

The soldier is down, though it may take time for him to realize that!
 
mimi ni mwanaume, ilaa huyo dada ana akili kuliko wewe! anajuaa umeoa so hataa cha kukushawishi zaidi yaa kujivikaa ngozi ya kondooo (eti mjali mke wako) kaka jiulize:-

i) huyo aliyemzalisha yupo wap???
ii) kwa nn kamwachaa???

ushauri:
ndo kwanzaa bado famili yako changaa, mwelekeo ya familiaa huji imekaaje na piaa, sasa danganya na makalio, uweupe na vingine ukamsahau mke wako!

je wajuaa hii nguvu ya kuweze kumpangiaa nyumbaa ni baraka za mke wako unapelekaa kwa mwanamke mwingine!!!

Kaka jiwekeze achana na kuwekeza katika wanawake!
Dada ana PhD ya maisha wakati jamaa ana certificate.
 
Eeh wanawake wajanja wanajua hilo yani! Anajua akijilegeza kwako utaloa mapema sana yani unakuwa mteke.

Hiki kitu watoto wa kichaga wamefunzwa na mama zao sana hasa mwanaume akiwa na hela wee usipime yani. Utalambwa miguu na kupewa K kama yote,,, hapo jua inatafutwa ndoa na mamlaka ya mke yani! Yakipatikana wanaanza kuvuna kuhamishia mali kwao huko! Mara ujenzi,mara sijui kitu gani mme anatokwa hela tu ukijimix na lile penzi huoni mbele ukija stuka umeisha!
Dah, wanawake wametuweka kwenye kona mbaya, ukicheza vibaya, unakatwa sharubu. Ujanja unaisha.😂😂
Wanawake wa kichaga nshasikia harakati zao sana tu. Kitu kikubwa mwanaume anatakiwa awe nacho ni uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi. Ukiwa mzembe kama mtoa mada halafu unajiona mjanja umekwisha. Siku zote ukiona mambo yanaenda swadakta kwenye mahusiano ya nje jua kitu kizito kimekaribia kutua utosini mwako.
 
Badala ale kimya kimya atulie ye anataka kujiongezea msalaba mwingine
Nimependa.

Kila siku mimi nasema, mchepuko ni mtamu sana AS LONG AS NI MCHEPUKO! Huyu mleta mada asichokijua ni kwamba ukishambadilisha mchepuko status akawa mke, anakua sio mtam tena maana kawa mke sasa so itabidi aanze upya kutafuta mchepuko..

Ukitaka kuufaidi mchepuko we uache uendelee kuwa mchepuko.
 
Thats what she made for! Aliwe kimya kimya tu
 
Dah, wanawake wametuweka kwenye kona mbaya, ukicheza vibaya, unakatwa sharubu. Ujanja unaisha.😂😂
Wanawake wa kichaga nshasikia harakati zao sana tu. Kitu kikubwa mwanaume anatakiwa awe nacho ni uwezo wa kuchambua mbivu na mbichi. Ukiwa mzembe kama mtoa mada halafu unajiona mjanja umekwisha. Siku zote ukiona mambo yanaenda swadakta kwenye mahusiano ya nje jua kitu kizito kimekaribia kutua utosini mwako.
Hahahahah dem anamvuta vuta kisha atamtia kitasa cha haja
 
Nimependa.

Kila siku mimi nasema, mchepuko ni mtamu sana AS LONG AS NI MCHEPUKO! Huyu mleta mada asichokijua ni kwamba ukishambadilisha mchepuko status akawa mke, anakua sio mtam tena maana kawa mke sasa so itabidi aanze upya kutafuta mchepuko..

Ukitaka kuufaidi mchepuko we uache uendelee kuwa mchepuko.
Akishamuingiza ndani atamuona hafai tena, half atajilaumu ahisi aliwekewa madawa kumbe alibugi kuvunja sheria ya uchepukaji mwenyew
 
Maisha yana mambo mengi sana nimeoa miaka kadhaa iliyo pita nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yani aliwahi kuzalishwa ni mtoto wa kimalangu mweupee tako kubwa yani amekamilika kila idara huyo dada nmemtongoza karibia miezi 3 anagoma siku alipo nikubali amekuwa mwema sana sioni shida kuhudumia yeye na mtoto wake nimeamua kumpangia nyumba yani ananisisitiza sana kumjali mke wangu siku sijuti kumpata maamuzi niliyo chukua ni kwamba nitaenda kwao kutoa mahari nitaoa awe mke wa pili hata kama dini hairuhusu
Umelogwa tayari bro.Tulia ndani ya ndoa yako.hawa wachaga wanawapenda washamba kama wewe.utakuja kulia lia humu tena.
 
Back
Top Bottom