Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Mama j bhana
 
Kwa komenti hii na anachofanya Dp na yanayoendelea nchi hii sisi kwenye eneo la ubinadamu na utu bado sana.

Tukubali tukatae tumejaa ubinafsi mkubwa.
Unajinufaisha kwa mtu kwa ajili ya furaha yako kwa kutumia ujinga na umaskini wa mtu.
NO no
Kwenye hii dunia usipojiongeza uumekwisha. Mimi nilimuacha mume wa ndoa sababu baada ya kujua napoteza muda kuwa na yeye. Mtu unaona kabisa unapoteza muda wewe upo tu.
 
Niwaambieni ukweli dada zangu wa humu.
Kupangiwa apartment nk huwa mwanaume anatafuta lodge ya bei rahisi.
Badala ya kwenda lodge ya 50k kwa wiki mara 3=150×=600k, anaamua akupangishie nyumba ya 250k na hapo anajua anaokoa 60k ya chakula na vinywaji ambavyo mngetumia kila muonanapo lodge.

Siku amekuchoka anakuachia apartment yako upambane na kodi au uhamie chumba cha 50k/month.
Epukeni madanga kwa tamaa ya pesa..tafuteni waume muolewe
 
Kwenye hii dunia usipojiongeza uumekwisha. Mimi nilimuacha mume wa ndoa sababu baada ya kujua napoteza muda kuwa na yeye. Mtu unaona kabisa unapoteza muda wewe upo tu.
Ilkuaje uyo mumeo sister[emoji848]
 
Kwenye hii dunia usipojiongeza uumekwisha. Mimi nilimuacha mume wa ndoa sababu baada ya kujua napoteza muda kuwa na yeye. Mtu unaona kabisa unapoteza muda wewe upo tu.
Ndio maana ulipotea humu?😂
 
Huyo mama j nae anajiongezea dhambi tu kudate na mme wa mtu ambae mpk 5o anakukopea!!!!
 
Nina mifano 2 za wanawake waliachiwa apartment huku hawana hela ya ku renew mkataba
 
Ilkuaje uyo mumeo sister[emoji848]
Ni mwanume ambaye alikuwa hawazi kesho, akipata hela yeye ni kutumia tu, hajawahi kusave hela. Nikaona hapa mwisho wa siku ni mzigo tu. Hashauriki wala nini. Toka tuachane hajafanya chochote cha maana, na mbaya zaidi akauza gari yangu Kinyemela.
 
Analeta huruma kwenye mapenzii
Mapenzi ya bongo ni kuoteana....ukizubaa unageuzwa lofa. Wabongo hawajazoea mtu wa kutenda mema apite tu .....
Subiri utupigwa tukio akili zikukae🤣
 
Subiri atupigwa tukio akili zikukae🤣
Kupigwa tukio aje?
Me mwenzio huwa nampenda mtu wakati wa ku.......ko....Jo.....le.....sha....na tu. Baada ya hapo nshasahau naendelea na yangu. Nani anataka kugeuzwa kibondeo na kuumizwa daily
 
Ni mwanume ambaye alikuwa hawazi kesho, akipata hela yeye ni kutumia tu, hajawahi kusave hela. Nikaona hapa mwisho wa siku ni mzigo tu. Hashauriki wala nini. Toka tuachane hajafanya chochote cha maana, na mbaya zaidi akauza gari yangu Kinyemela.
Mwanaume type hiyo changamoto sana,Sasa Mimi mamaJ Nampa pesa daily

ila huwez amini alianzisha tabia ya kunisachi na kuniibia Ela kila nikienda kwake au tumetoka out kwny ulevi.

YAAN ukiwa na noti noti nyingi za kufanana, utashangaa noti 2 au 3 hazipo kazichomoa.

Nishawahi kuleta huo Uzi hapa
 
Huo mzunguko ndio maisha halisi ya Dar es salaam au Tanzania kwa ujumla.lakini yote afande ndio mshindi....Hahahah
 
Duu , chumaa ulete huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…