Mchepuko anachanganya mapenzi na pesa, nilichomfanyia nadhani kapata funzo

Kwanza mtu unakaa peke yako, nyumba ya 250k ya nini?? Mwisho wa siku ukibwagwa huna hata kodi.

Na masponsor walivyo na tabia mbaya hakupangii nyumba ya bei rahisi mabayo utaweza lipa wala anakupangia apartment ya hela ndefu baada ya hapo unakuwa mtumwa wake maana ukifikiria kodi unabaki.
 
Na masponsor walivyo na tabia mbaya hakupangii nyumba ya bei rahisi mabayo utaweza lipa wala anakupangia apartment ya hela ndefu baada ya hapo unakuwa mtumwa wake maana ukifikiria kodi unabaki.

Ha ha ha.....!
Hapo juu nmecheka utadhan mazuri
 
Ha ha ha.....!
Hapo juu nmecheka utadhan mazuriView attachment 2480782
Kweli mkuu ushawahi sikia sponsor kampangia mdada nyumba ya laki?? Anajua hiyo utaweza lipa tuu, wao anakupeleka masaki au mikocheni anakupangia nyumba nzima kuanzia 500k huko.

Anakununulia na kaIST ambako mafuta unategemea kwake halafu kadi anayo yeye nambie hapo anachomokaje dada wa watu??

Ni dada mmoja tuu ndio alibahatika kujengewa nyumba na sponsor bonge la jumba ghorofa na hati kamkabidhi ila jinsi alivyomharibu sidhani hata kama anaiona raha ya nyumba anaiona.

Amemtatua marinda kiasi kwamba yule dada amekuwa teja wa hiyo michezo hawezi kaa siku bila kumtafuta sponsor wakunane. Hawezi kuwa na vijana rika lake ndio amestuck kwa mbaba huko.
 
Hizi zimewakuta Sana wadada wa bongo movie wakiongozwa na wema.

Unakua sex slave kwa aibu ya utaishije baada ya breakup[emoji4]
 
Duu pole yake. Sasa kuna raha gani ya kuwa na ghorofa huku umeharibiwa maisha.
 
maana walimchimba mkwara kua aliyeibiwa Simu alivamiwa na kuuwawa, wanaimalizaje kesi. Ndo jamaa akawapoza hiyo mil. 1 chap.
Mhmm nimewaza Tu ule mtindo wa kununua simu used jiji.
 
maana walimchimba mkwara kua aliyeibiwa Simu alivamiwa na kuuwawa, wanaimalizaje kesi. Ndo jamaa akawapoza hiyo mil. 1 chap.
Mhmm nimewaza Tu ule mtindo wa kununua simu used jiji.
Inaweza ikala kwako,
kua makin Sana mkuu
 
Aseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…