Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Mambo vipi ndugu zangu?
Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika.
Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa kunipunguzia mchoko na upweke niliokuwa nao.
Huku na huku nikakamata mwanamke anayeishi jirani na kazini kwangu ambaye pia anamfahamu vizuri mke wangu. Kinachoniudhi kutoka kwa huyu mwanamke, kila tunapokuwa naye mechini inapofika muda wa mimi kushambulia kwa kasi ili niweze kupenya ngome zake na kufunga bao utasikia analalamika eti mke niliemuoa anafaidi sana.
Namnukuu "oh baby kwa raha hizi kwa kweli mkeo anafaidi" . Lakini pia hata tukiwa tumekaa tunaongea utasikia analaumu mimi kukimbilia kuoa eti laiti ningesubiri kidogo tu pengine yeye ndo angekuwa mke wangu na zile raha zote anazopata mke angezipata yeye mwenyewe.
Nimeshajaribu kumwambia asiwe anamuongelea mwenzake lakini hasikii. Sasa ndugu zangu huyu mwanamke nimfanyaje maana kwa sasa yeye ndo anaenitoa kwenye mkwamo.