Mchepuko anapenda kumtaja mke wangu hata wakati wa tendo

Mchepuko anapenda kumtaja mke wangu hata wakati wa tendo

Utapigwa na kitu kizito kichwani mda si mrefu

kama unaendaga kwa babu ni wakati muafaka sasa mtembelee...
 
Ila kuwa makini sana brother hawa wanawake wenzangu wakipima wakiona panafaa wana mambo mengi sana
Ya ni kweli sis ngoja nianze kuwa nae makini asije akanifanyia nisiyopaswa kufanyiwa.
 
Acha kumpa ela yani namaanisha mkope baada ya shughuli mwambie baby leo sina kitu alafu uone kama utayasikia hayo maneno!
 
Ninamhurumia sana mke wako pamoja na ndoa yako kwa hayo mambo ya kipumbavu unayofanya. Siku si nyingi utalishwa sijui nini ......... utajikuta unamchukia mke wako na ndoa kuvunjika na kumweka huyo ndani. nilikuwa na bro wangu alikuwa na mchepuko kama wa kwako, kwa jinsi mke wake alivyokufa ilitia shaka sana na baada siku si nyigi mchepuko akachukuliwa kuwa mke. Tulijaribu kuunganisha doti lakini tukaona wacha maisha yaendelee mana mwenye kujua zaidi ni Mungu . Be very careful my friend. Umejichimbia shimo ambalo siku moja utajikuta umetumbukia mwenyewe .
Usimtishe, wengine tunapiga show nyingi sana na familia inasonga.
Afanye kwa akili tu.
 
Unafki wetu sisi binadamu, hapa litakuja jitu lina mke au mume halafu lina michepuko kibao lakini na lenyewe litamkanya jamaa na kumpa vitisho kibao.
Gonga nyapu jombaaaa, hizo ndude tumeumbiwa sisi wanaume, wakitaka reference wape tu story za mfalme selemani na wake zake 700 pamoja na madanga yake 300.
 
Mambo vipi ndugu zangu? Ama baada ya salam, ngoja sasa nielekee katika mada husika. Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa kunipunguzia mchoko na upweke niliokuwa nao. Huku na huku nikakamata dem anaeishi jirani na kazini kwangu ambae pia anamfahamu vizur mke wangu. Kinachoniudhi kutoka kwa huyu demu kila tunapokuwa nae mechini inapofika muda wa mimi kushambulia kwa kasi ili niweze kupenya ngome zake na kufunga bao utasikia analalamika eti mke niliemuowa anafaidi sana. Namnukuu "oh baby kwa raha hizi kwa kweli mkeo anafaidi" . Lakini pia hata tukiwa tumekaa tunaongea utasikia analaumu mimi kukimbilia kuowa eti laiti ningesubiri kidogo tu pengine yeye ndo angekuwa mke wangu na zile raha zote anazopata mke angezipata yeye mwenyewe. Nimeshajaribu kumwambia asiwe anamuongelea mwenzake lakini hasikii. Sasa ndugu zangu huyu demu nimfanyaje maana kwa sasa yeye ndo anaenitoa kwenye mkwamo wa nyeg..e.
Lipia tangazo mkuu fanya haraka sana
 
Bwege kabisa, kwanza utapelekaje mwanamke wako kwao huko ni kuogopa majukumu huna hata aibu.
 
Subiria muachane kama hajasema unakibamia mkuu hawa watu hawaelewekagi we kula mbususu tu apo
 
Mambo vipi ndugu zangu?

Ama baada ya salamu, ngoja sasa nielekee katika mada husika.

Kwanza kabla ya yote ningependa ieleweke kuwa mimi ni mume wa mtu, lakini kwa sasa mke wangu kasafiri kaenda kujifungua mtoto wetu wa pili kwao. Kutokana na upweke wa hapa na pale ikabidi nitafute bebee wa kunipunguzia mchoko na upweke niliokuwa nao.

Huku na huku nikakamata mwanamke anayeishi jirani na kazini kwangu ambaye pia anamfahamu vizuri mke wangu. Kinachoniudhi kutoka kwa huyu mwanamke, kila tunapokuwa naye mechini inapofika muda wa mimi kushambulia kwa kasi ili niweze kupenya ngome zake na kufunga bao utasikia analalamika eti mke niliemuoa anafaidi sana.

Namnukuu "oh baby kwa raha hizi kwa kweli mkeo anafaidi" . Lakini pia hata tukiwa tumekaa tunaongea utasikia analaumu mimi kukimbilia kuoa eti laiti ningesubiri kidogo tu pengine yeye ndo angekuwa mke wangu na zile raha zote anazopata mke angezipata yeye mwenyewe.

Nimeshajaribu kumwambia asiwe anamuongelea mwenzake lakini hasikii. Sasa ndugu zangu huyu mwanamke nimfanyaje maana kwa sasa yeye ndo anaenitoa kwenye mkwamo.
Kwanini umsaliti mkeo kijinga jinga.....muheshimu mkeo
 
Back
Top Bottom