Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,538
Ninamhurumia sana mke wako pamoja na ndoa yako kwa hayo mambo ya kipumbavu unayofanya. Siku si nyingi utalishwa sijui nini ......... utajikuta unamchukia mke wako na ndoa kuvunjika na kumweka huyo ndani. nilikuwa na bro wangu alikuwa na mchepuko kama wa kwako, kwa jinsi mke wake alivyokufa ilitia shaka sana na baada siku si nyigi mchepuko akachukuliwa kuwa mke. Tulijaribu kuunganisha doti lakini tukaona wacha maisha yaendelee mana mwenye kujua zaidi ni Mungu . Be very careful my friend. Umejichimbia shimo ambalo siku moja utajikuta umetumbukia mwenyewe .
Hajui kama na mimi namtumia kwa muda ili kupunguza maziwa ya mgando mwilini.. Thanx kwa ushauri mkuu.Unapangwa Mkuu hauwajui mademu.
Nitaangalia jinsi ya kuufanyia kazi ushaur wako mkuu.Naona umekuja kututangazi ufundi wako dimbani mkuu[emoji23][emoji23]
Pokea pongezi mkuu mtoto wa kike maana amekubali kazi yako cha kufanya mtie moyo Kua hajachelewa bado nafac anayo ya kufaidi kama mkeo
"Hivi kwann hatukujuana mapema" ndio kauli mbiu ya mapenzi mkuu isikutishe sana[emoji23]
Jamaa mshamba inaonekana hajiamini kabisaMkuu utakua wanawake huwajui vzur wew!; endelea kuvimba bichwa.alaf usisahau kulipia tangazoo
Mkuu nikishaonga mshahara wng familia yang nitaitunza vipi?Honga mshahara wote mkuu utapata zaidi
Asante mkuu, ngoja niangalie namna ya kuufanyia kazi ushaur wako. Thanks a lot.mkuu, pole kwa kazi, achana na wanawake, mpende mkeo