Mchepuko anapenda kumtaja mke wangu hata wakati wa tendo

Du! Mkuu hili tangazo la bishara naona umeliweka kimtego sana; tarajia PM nyingi kutoka kwa wanawake wa JF, usidhani mpweke ni wewe tu....hata humu kuna wapweke wa kutosha.

Mkuu kama ikiwezekana muoe huyo manzi awe mke wako wa pili. Unajua wanawake wamamheshimu sana mwanaume anayejua kuwakuna na kukonga nye.ge zao. Ukimuoa huyo mwanamke nakuhakikishia atakuheshimu kuliko mke wako wa kwanza. Usichezee bahati kwenye tundu la choo mkuu.
 
Hata hili bro lakuomba ushaurii unafeli wapiiii ok mwambie yeye aje aombe ushaurii maana ndio mwenye tatizo
 
Huyo keshampania mkeo, na ukiona umemkataza hajakusikia ndio keshaanza kukupanda kichwani, bila shaka anajua hata unapofanyia kazi...kama mwanaume unatakiwa uishi sana kwa akili na mwanamke...achana na tamaa za muda mfupi, heshimu ndoa yako !
 
Hivi hawa watu wanaochepuka mitaani (wake kwa waume) hua wanatokea wapi? Maana humu jeiefu ni kama hawapo kabisa..... humu naona wote ni malaika!
 
Muheshimu mkeo, tena katika kipindi hiki ambacho yupo kwenye hali ya uzazi unatakiwa uwe karibu nae na kumthamini, huyo mchepuko hatakusaidia chochote anaweza kuharibu familia yako kirahisi kwa sababu tayari anamjua mkeo
 
Sure aisee mwenzake anaenda kumletea mtoto na ku sacrifice maisha yake na lolote latokea yeye analeta Uzi wa uovu mfyuuu kweli
Soon or later atapata anachokitafuta, huyo mchepuko hana nia njema
 
Soon or later atapata anachokitafuta, huyo mchepuko hana nia njema
Acha atelekeze familia ndo atatulia Kuna jizee listaafu limeharibu familia kisa michepuko na hivi hana hela wote wamemkimbia na mke kaomba talaka
 
Lipia tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…