Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi.
Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili office mate wake alimkaribisha kwake. Alimwambia anamalizia nyumba yake na kwa sasa hata mke na watoto wameshahama, yuko katika hata kati za kurudisha fungui kwa mwenye nyumba. Nyumba ni nzuri vyumba vitatuvya kulala na kinamaster bedroom.
Mipango ya huyu mgeni wa Dodoma ni kuihamisha familia watoto wakifunga shule. Pale wanapokaa mwenye nyumba amejenga nyumba tatu mbili za two bedroom na moja three bedroom. Katika hizi nyumba mbili za ziada anakaa dada mmoja mfanya kazi wa benk. Kwa muinekano tu anaonekana hata huko kazini ana ki position.
Alipomuaona mwanaumekutoka Dar, alianza kumsalimia. Alimkaribisha Dodoma. Alianza kumelekea hot pots za chakula. Bata kama anachelewa kurudi housegirl alihimizwa apeleke chakula. Jumamosi moja alimpa offer mgeni kumpeleka Ziwa Bulombola. Baada ya hapo ilikuwa kila J’mosi wana mtoko. Mwisho ikawa wakitoka J’mosi wanarudi J2.
Sasa mke wa jamaa amehamia Dodoma. Mdada wa benkini akaunga ushoga. Akawa anamjonyesha saloon za mjini na sehemu za kupata maji tano. Alimhadithia ukaribu wa mumewe na dada mmoja. Mke aliona wivu, dada wa benki alimshauri akipata mtu wa kutoa nae machungu afanye tu kulipiza usaliti wa mumewe.
Alimtafutia na bwana na alihakikisha mumewe anafahamu. Uzuri bwana aliyetafutwa anamfahamu mume na anajua jamaa alivyomstaarabu lakini alimuonya kabisa amuweke mbali mkewe na shangingi la mjini.