Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

Hawakuwana busara tu,hata nguvu za kiume walijaaliwa,nyie wa saizi kibao kimoja Tena Cha jogoo kwa wiki mara moja bado uoe wake wawili???? Tuvumiliane tu jamaaaan Tena sisi wake zenu ndio ilibidi tuolewe na wanaume wawili ili mmoja ikigoma kusimama naenda kwingine!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe naona unahitaji kukeketwa! Itabidi tuanze kampeni ya ukeketaji ili wanawake kama ww mtulie😂😂😂😂😂!
 
Anatakiwa amzalishe watoto wa kutosha ili akose muda wa kujiunga na mashangingi wa mjini
 
Hawakuwana busara tu,hata nguvu za kiume walijaaliwa,nyie wa saizi kibao kimoja Tena Cha jogoo kwa wiki mara moja bado uoe wake wawili???? Tuvumiliane tu jamaaaan Tena sisi wake zenu ndio ilibidi tuolewe na wanaume wawili ili mmoja ikigoma kusimama naenda kwingine!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo usijumuishe wanaume wote.
Kuna watu wanaoa wake wawili na wanahudumia vizuri.

Kupanga ni kuchagua.
 
Ila kuna wanaume wanachekeshaga sana, mkewe anatia kamoja tena ka taabu kweli kweli ,halafu anakuwa na mchepuko sijui hata huwa anamtiaje jaman,,,huku home unaacha mke joto la motooo kinomer ,maraa paaap anaanza kufukuzia waendesha tororiiii!
.aiseee nyie wanaume ,,hata sie tuna mihamu na tunataka wanaume hata watatu ila....."tunawaheshimu kwa hako ka moja ka taaabu" nyaaau nyieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna wanaume wanachekeshaga sana, mkewe anatia kamoja tena ka taabu kweli kweli ,halafu anakuwa na mchepuko sijui hata huwa anamtiaje jaman,,,huku home unaacha mke joto la motooo kinomer ,maraa paaap anaanza kufukuzia waendesha tororiiii!
.aiseee nyie wanaume ,,hata sie tuna mihamu na tunataka wanaume hata watatu ila....."tunawaheshimu kwa hako ka moja ka taaabu" nyaaau nyieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Si anajua mke haendi popote
 
Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi.

Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili office mate wake alimkaribisha kwake. Alimwambia anamalizia nyumba yake na kwa sasa hata mke na watoto wameshahama, yuko katika hata kati za kurudisha fungui kwa mwenye nyumba. Nyumba ni nzuri vyumba vitatuvya kulala na kinamaster bedroom.

Mipango ya huyu mgeni wa Dodoma ni kuihamisha familia watoto wakifunga shule. Pale wanapokaa mwenye nyumba amejenga nyumba tatu mbili za two bedroom na moja three bedroom. Katika hizi nyumba mbili za ziada anakaa dada mmoja mfanya kazi wa benk. Kwa muinekano tu anaonekana hata huko kazini ana ki position.

Alipomuaona mwanaumekutoka Dar, alianza kumsalimia. Alimkaribisha Dodoma. Alianza kumelekea hot pots za chakula. Bata kama anachelewa kurudi housegirl alihimizwa apeleke chakula. Jumamosi moja alimpa offer mgeni kumpeleka Ziwa Bulombola. Baada ya hapo ilikuwa kila J’mosi wana mtoko. Mwisho ikawa wakitoka J’mosi wanarudi J2.

Sasa mke wa jamaa amehamia Dodoma. Mdada wa benkini akaunga ushoga. Akawa anamjonyesha saloon za mjini na sehemu za kupata maji tano. Alimhadithia ukaribu wa mumewe na dada mmoja. Mke aliona wivu, dada wa benki alimshauri akipata mtu wa kutoa nae machungu afanye tu kulipiza usaliti wa mumewe.

Alimtafutia na bwana na alihakikisha mumewe anafahamu. Uzuri bwana aliyetafutwa anamfahamu mume na anajua jamaa alivyomstaarabu lakini alimuonya kabisa amuweke mbali mkewe na shangingi la mjini.
Michepuko ina tabia za kichawi,kuna mke wa mtu ni mchepuko wa mme wng anashinda kiofisi uchwara mpaaeneo Fulani sasa kuna siku alinikuta sehem fulan Mimi hata nilikuwa simjui akaanza kimsimulia mwenzie....ooh nna bwana wpa mtu kanigandaa,ananipenda mie zangu bize huku nawaza huyu dada haon aibu kujitangaza anachepuka??? Nikamaliza kilichonipeleka nikasepa.
Kurudi kesho yake wahusikla wa pale wananiambia nilivoondoka pale yule Dada akaanza kusema mwanaume mwenyewe no mme wa huyu dada,nimeongea makusud nomkomeshe,kiukweli nilishaangaa na kumuhurumia pia nokakumbuka biblia imemuita kahaba ni shimo reeeeefu,nikaulizia jina lake nikapewa na namba yake ya simu,kwenda kuangalia kwenye simu ya mme wng kaseviwa jina lingine sasa sielewi Mr kadanhanywa jina au nae kazuga,nikiwatafakpari nawahurumia!!!!
" Aziniye na mwanamke Hana akili"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom