Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

Wewe naona unahitaji kukeketwa! Itabidi tuanze kampeni ya ukeketaji ili wanawake kama ww mtulie😂😂😂😂😂!
 
Anatakiwa amzalishe watoto wa kutosha ili akose muda wa kujiunga na mashangingi wa mjini
 
Mkuu hapo usijumuishe wanaume wote.
Kuna watu wanaoa wake wawili na wanahudumia vizuri.

Kupanga ni kuchagua.
 
Ila kuna wanaume wanachekeshaga sana, mkewe anatia kamoja tena ka taabu kweli kweli ,halafu anakuwa na mchepuko sijui hata huwa anamtiaje jaman,,,huku home unaacha mke joto la motooo kinomer ,maraa paaap anaanza kufukuzia waendesha tororiiii!
.aiseee nyie wanaume ,,hata sie tuna mihamu na tunataka wanaume hata watatu ila....."tunawaheshimu kwa hako ka moja ka taaabu" nyaaau nyieeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si anajua mke haendi popote
 
Michepuko ina tabia za kichawi,kuna mke wa mtu ni mchepuko wa mme wng anashinda kiofisi uchwara mpaaeneo Fulani sasa kuna siku alinikuta sehem fulan Mimi hata nilikuwa simjui akaanza kimsimulia mwenzie....ooh nna bwana wpa mtu kanigandaa,ananipenda mie zangu bize huku nawaza huyu dada haon aibu kujitangaza anachepuka??? Nikamaliza kilichonipeleka nikasepa.
Kurudi kesho yake wahusikla wa pale wananiambia nilivoondoka pale yule Dada akaanza kusema mwanaume mwenyewe no mme wa huyu dada,nimeongea makusud nomkomeshe,kiukweli nilishaangaa na kumuhurumia pia nokakumbuka biblia imemuita kahaba ni shimo reeeeefu,nikaulizia jina lake nikapewa na namba yake ya simu,kwenda kuangalia kwenye simu ya mme wng kaseviwa jina lingine sasa sielewi Mr kadanhanywa jina au nae kazuga,nikiwatafakpari nawahurumia!!!!
" Aziniye na mwanamke Hana akili"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…