Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Tupe uzoefu wako ndugu mjumbeSawa ndugu mjumbe.
Muhimu ni kupata mahitaji yako ya msingiHata mke hachunguzwi, hiyo ni kazi ya watu wasiojiamini.
Za mwizi ni arobaini, kama kuna tatizo utakuja kujuwa lakini achana na mambo ya kujifanya ni detective wa mahusiano unajitafutia magonjwa yasioambukizwa wala kurithi.
Tupe uzoefu wako ndugu mjumbe
Ni wachache sana, wengi wanajua wewe ni mpitaji tu, hakuna ndoaWewe kuna michepuko loyal et yaani anajijua ni mchepuko ila yuko loyal hachepuki hana makando kando wala nini yaan
😂😂😂Haaahh hivi nimeandika mjumbe...!!!?
Nilimaanisha mjomba..😅
Sawa mjomba, tumekusikia mjomba...
Muchepuko anapewa vitu spesho mjomba
Muchepuko hastreshishwi mjombaa
Mchepuko ni wa maraha tuu, huzuni matatizo na shida ni huko laini kuu...
Ni sawa kabisa mjomba...
Muchepuko hachungwi....😁😁
Ila kawivu kamoo mjombaa...😆😆😆
Ukimchunga, atakuambia umuache mkeo umuoe yeye, je utaweza?Inategemea Ni Mchepuko daraja la ngapi.
Kama Ni mchepuko temporary, sikupingi[emoji4]
Kama humgharamii ndo atapata guts za kukuuliza huo Ujinga,Ukimchunga, atakuambia umuache mkeo umuoe yeye, je utaweza?
Ujumbe umewafikia wahusika.Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.
Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.
Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.
Wewe kuna michepuko loyal et yaani anajijua ni mchepuko ila yuko loyal hachepuki hana makando kando wala nini yaan
Mchepuko ni wa maraha tuu, huzuni matatizo na shida ni huko laini kuu...
Hapahapa kwa hangaya nKwambiaHao wapo Qatar au hapa hapa Tz kwa Hangaya?
Ongeza sautiiiiiKama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.
Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.
Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.
Hapahapa kwa hangaya nKwambia