Mchepuko hauchungwi

Mchepuko hauchungwi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.

Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.

Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.
 
Hata mke hachunguzwi, hiyo ni kazi ya watu wasiojiamini.

Za mwizi ni arobaini, kama kuna tatizo utakuja kujuwa lakini achana na mambo ya kujifanya ni detective wa mahusiano unajitafutia magonjwa yasioambukizwa wala kurithi.
 
Muhimu ni kupata mahitaji yako ya msingi
 
Tupe uzoefu wako ndugu mjumbe

Haaahh hivi nimeandika mjumbe...!!!?

Nilimaanisha mjomba..😅

Sawa mjomba, tumekusikia mjomba...

Muchepuko anapewa vitu spesho mjomba

Muchepuko hastreshishwi mjombaa

Mchepuko ni wa maraha tuu, huzuni matatizo na shida ni huko laini kuu...

Ni sawa kabisa mjomba...

Muchepuko hachungwi....😁😁

Ila kawivu kamoo mjombaa...😆😆😆
 
Wewe kuna michepuko loyal et yaani anajijua ni mchepuko ila yuko loyal hachepuki hana makando kando wala nini yaan
Ni wachache sana, wengi wanajua wewe ni mpitaji tu, hakuna ndoa
 
Haaahh hivi nimeandika mjumbe...!!!?

Nilimaanisha mjomba..😅

Sawa mjomba, tumekusikia mjomba...

Muchepuko anapewa vitu spesho mjomba

Muchepuko hastreshishwi mjombaa

Mchepuko ni wa maraha tuu, huzuni matatizo na shida ni huko laini kuu...

Ni sawa kabisa mjomba...

Muchepuko hachungwi....😁😁

Ila kawivu kamoo mjombaa...😆😆😆
😂😂😂
 
Inategemea Ni Mchepuko daraja la ngapi.

Kama Ni mchepuko temporary, sikupingi[emoji4]
 
Sio Mchepuko TU,
Mwanamke yyt akiamua Jambo lake huwez kumchunga.

Cha muhimu Ni kumuepusha TU na vishawishi vya Hapa na pale[emoji4]
 
Kama hutaki kuwa na msongo wa mawazo, unatakiwa uelewe kuwa mchepuko hauchungwi; muda ule unapokuwa naye ndio muda wa wewe kummiliki na kujivinjari uwezavyo.

Ukiondoka eneo la tukio, usimuweke kichwani. Pambana na mambo yako mengine; vinginevyo, utatafuta msongo wa mawazo; na kuwa na magomvi na kila mtu.

Mchunge mkeo/mumeo, ila mchepuko hauchungwi.
Ujumbe umewafikia wahusika.
 
Ongeza sautiiiii
 
Back
Top Bottom