Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Mbususu unakula kiroho safi,Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya
.
Kununua godoro unaona kipengele
Hyo Mimba utalea kweli🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbususu unakula kiroho safi,Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya
.
Mkuu unataka Millard Ayo aamke na breaking newsKwanini umpe godolo wakati anaweza kuja kulala kwako?
Mshauri ahamie hapo.
Una maanisha yale magodoro feki 🤣🤣🤣Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa.
Ila JF Manzi wa humu akiopoa gumegume kataka mwenyewe maana madini yote tunapewa na kaka
Mmh usikalili tunayo yaongea humu mtaan hatufanyi hayoo usikute mtoa mada hata gheto hanaIla JF Manzi wa humu akiopoa gumegume kataka mwenyewe maana madini yote tunapewa na kaka zetu.
Take it easy bro maisha sio vita.Mnawaza ujinga ujinga tu
Hayo hayo mkuuUna maanisha yale magodoro feki 🤣🤣🤣
Ubahili tu!😣Kwanini umpe godolo wakati anaweza kuja kulala kwako?
Mshauri ahamie hapo.
Hamia kwanguUbahili tu!😣
Hapo tu Bado penzi ni jipya demu anapewa godoro used, likifika katikati Karibu na jioni itakuwaje?Ni hivi penzi bado jipya kabisa.
Na kitoto cha elfu 2.
Kimeomba godoro.
Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii.
Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa.
Kava tayari lilisha toka muda mrefu sana na godoro lipo store kwa sasa.
Limebaki sponji tupu yani ukilalia asubuhi lazima uamke na mafua makali sana plus magodoro kichwani.
Nataka ninunue cushion za magodoro then niliweke godoro hili ndani ya hiyo cushion kisha umpelekee huyu mrembo yeye aone kama godoro jipya.
Swali ni je nitapata wapi hizo cushions na bei zake ni sh ngapi?
Nipo Dar asanteni sana
E e e easyTake it easy bro maisha sio vita.
Kipaumbele changu namba moja kwenye maisha ni starehe