Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

yapo mkuu inetegemea ma size unataka al size gani nina lile la ngozi kabisa
 
Angalia uwezo wa mtu ndugu,unataka siku akimtosa au kumfumania amcharande mapanga
Kumkata kata mapanga mwanamke huo ni udhaifu mkubwa Sana, mwanamke hapigwi kwa panga au fimbo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Acha umaskini laki 8.5 inakushinda kumhonga kitanda godoro na kapeti [emoji4][emoji4][emoji4]
Mkuu, kweli wewe huwa unahonga zote hizo? Unafanya kadri ya uwezo, kama saizi yako ni Tecno kitochi kwanini uhangaike na iphone sijui ngapi huko!
 
Back
Top Bottom