''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Baba wa huyo mtoto ambaye ndo marehemu ndo kaiabisha familia yake.

Kama ni kweli huwa mnaoa kwaajili ya kupata watoto iweje upate watoto na mke wako halafu uende tena kuzaa huko nje? Sio lazima uoe ndo uweze kupata watoto...mnaweza kuzaa bila ndoa kama ambavyo mnafanya hata baada ya kuoa. Unataka kujustify tabia mbaya ionekane ni nzuri.


Nasimama na huyo dada...kafanya jambo jema. Mlitaka atumie busara ipi wakati kachanganyikiwa.

Busara ingekuwa marehemu kumtambulisha mtoto wake kabla hajafa.
 
Hakuna mtoto haram.

Wanaharam ni wazazi waliomleta duniani kiumbe asiekuwa na hatia kwa tamaa za miili yao na kuruhusu malaika huyo ahukumiwe na standard za kinafiki za walimwengu.
Kama ni hivyo basi tukubaliane na aliyoyafanya huyo mchepuko.
Mtoto halali ana haki ya kujulikana na kushiriki mazishi ya baba yake.
 
Kama ni hivyo basi tukubaliane na aliyoyafanya huyo mchepuko.
Mtoto halali ana haki ya kujulikana na kushiriki mazishi ya baba yake.
Angeshiriki mazishi sio kuharibu shughuli
 
siku zote huwa tunawaambia wasabato waokoke, kushika amri kumi na ufarisayo hauwezi kuwasaidia kushinda dhambi. huyo dada alikuwa sahihi, au hamtaki mtoto huyo aliyezaa naye alie msiba wa baba yake, na mnafikiri kama asingekuja hapo msibani, baada ya msiba hao wasabato wangemuelewa kimyakimya?

mshaurini, kama kwenye cheti kuna jina la baba, au kwenye kadi, atafute wanasheria wamsaidie apate mgao, huyo mtoto hana hatia, wenye hatia ya uzinzi ni huyo dada na marehemu. mtoto anastahili mgao.
 
Wanaume haturifhiki na mke mmoja
 
Ana haki yake, huyo mama, kuwa Mumbaiji wa injili, haina maana alikuwa mtakatifu, kama aliishi kama mshenzi mshenzi! Asituachie watoto wasio na msaada,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…