''Mchepuko'' ulivyotaka kuharibu shughuli ya msiba wa muimbaji wa nyimbo za injili Marco wa Zabron Singers

Kuna wanawake ni nusu watu nusu hayawani.

Takriban wiki moja iliyopita muimbaji wa nyimbo za injili Marco Zabron wa kundi la Zabron Singers alifariki jijini Dar es salaam.

Mapema wiki hii shughuli ya mazishi ikawa inafanyika huko Kahama mkoani Shinyanga.

Marehemu alikuwa ameoa na ana mtoto,

Katikati ya majonzi msibani akaibuka huyu nusu mtu nini sijui na kudai yeye eti alikuwa mchepuko wa mtumishi amezaa nae na anataka mgawo wa mali au mtoto atambulike rasmi

Mchepuko umekuja na kadi ya clinic ,mawasiliano ya watsapp na picha walizopiga na marehemu kama ushahidi

yaani disco luliingia mmasai.
kwa nini hakusubiri msiba ukaisha akaenda kistaarabu kujitambulisha.

nimelia sana maana hata mi nikifa leo naweza kupata aibu kama hiyo.na ninavyo heshimika kanisani
Ndio uache uzinzi sasa
 
Wanaume mtakufa midomo wazi jamani! Yani mke unalia misiba miwili, kumpoteza mume na usaliti aliokuwa akikufanyia mume mpaka na mtoto wakazaa kabisa!

Mungu atusaidie.
 
Back
Top Bottom