Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Pale wazinzi wanaposhauriana kizinzi.

Mleta mada, naomba uwalee hao watoto mapacha pia ukamtambulishe kwa mkeo ya kuwa umepata double package and blessings from another wife.

Mungu akusaidie sana wapate mapenzi yenu wazazi wote wawili.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wazinzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi.......nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: usharikani Kerege Ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Hahaa hapo unawaombea hata wafe..kwa taarifa yako wa nje huwa hawafi...kazi kwako mzee wa tubeless
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi.......nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: usharikani Kerege Ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Hii chai imeungwa vizuri kweli ila haibadili maana kuwa ni chai 😝
 
Pale wazinzi wanaposhauriana kizinzi.

Mleta mada, naomba uwalee hao watoto mapacha pia ukamtambulishe kwa mkeo ya kuwa umepata double package and blessings from another wife.

Mungu akusaidie sana wapate mapenzi yenu wazazi wote wawili.
Huo ugomvi wake muamuzi lazma awe DPP 😂😂😂
 
Back
Top Bottom