Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Ila wewe jamaa kiboko huyu mchepuko wa kinondoni si alikua hausigeli wako ukampiga denda mbele ya mke wako. Alivyofukuzwa kurudi kwao iringa ukamrudisha na kumpangia kinondoni????

Ina maana ukahama home na kuhamia kwa housegirl???????

Nimekuvulia kofia man. Ila lea hao watoto.

Na walikupaje uzee wa kanisa wakati ulimbandua mama mchungaji wa sinza? Ulivyohama ulisamehewa?

Watu wanajianika kwa sifa (badala ya kwa 'raha')zao JF!
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?

Labda utakuwa mzee wa kanisa la Shetani siyo la Mungu...

Badala umwogope Mungu eti unaogopa mchungaji akijua, fuckin kabisa wewe.
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Man, you rip what you saw.
Umepanda mbegu za binadamu lazima utapata amvuno ambayo ni binadamu.

Hongera baba mapacha au baba wawili.
 
Pale wazinzi wanaposhauriana kizinzi.

Mleta mada, naomba uwalee hao watoto mapacha pia ukamtambulishe kwa mkeo ya kuwa umepata double package and blessings from another wife.

Mungu akusaidie sana wapate mapenzi yenu wazazi wote wawili.
Pale wazinzi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Ina maana mimba yake ilikuwa imejificha kwa kinena?
 
Hongera. Kwa kupata watoto mapacha. Nadhani hamna ushauri utakaokufaa. Kwa sasa. Watoto hawana hatia. Ww ndio baba na kichwa cha familia. Maamuzi yako ni muhimu.ukiamuacho ndo dira ya kuendeleza na kudumisha amani ndani ya familia yako ....📖
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Pimbi wewe furahia. Hivi hao mapacha wakija kuwa marais au ma Biligate then kwenye sherehe wakatambulisha huyu ni Baba yangu na Mama yangu (huyo mkeo) na mama yangu mzazi (mama yao) je hutafurahi? Mshukuru Mungu sana, watanzania tunahitaji kuzaliana sana.
 
Kwani ulikuwa hujui kama kuna kinga? Ila ukataka nyama kwa nyama utamu kama wote hadi kisogoni. Unataka kumtelekeza awe singo maza?
Mwambie wife akupongeze Baba wawili na mwambie unajiandaa kufunga ndoa na mama wawili hivi karibuni. Hongera sana Mkuu.
Sijakataa watoto Hawa. Ndio tunasubiri kuruhusiwa hapa hospitalin Kairuki. Asanteni kwa salamu za Pongezi, zimefika.
 
Vijana watapata matunzo 'first class'.
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Asee. Kumbe wewe ni mzee wetu wa usharika hapa Kerege
 
Back
Top Bottom