Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Heko kwako
 
Attachments

  • nivurugenikuvuruge_20210112_104255_0.jpg
    nivurugenikuvuruge_20210112_104255_0.jpg
    38.1 KB · Views: 13
Hongera mkuu.
Kuchanganya damu ni nzuri kwa ustwari wa akili za watoto.

Tuige mfano kwa wenzetu wachaga wao unakuta mama anaona watoto wa mume ni wazito sana.
Anaamua kuchanganya na mushi ili kupata watoto wenye IQ kubwa zaidi hii ni nzuri sana.

Nadhani usubiri muda ukwende ukamtambulishe mkeo .
Binafsi sinaga uwoga kwenye maisha na kwa upande wangu hili ni jambo jepesi sana.

Hongera sana .
Evi hakuna mifano mingine kila kitu wachaga mbona Ni watu wakawaida sana
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Vumilia jipange kulea maana hakuna situation ukaijeuza hapo,
 
Scientifically IQ ya mtu haitokani na genetics,IQ ya mtu ni malezi na mazingira aliyokulia,hakuna uhusiano kati ya iq na genetics.
Ni science gani hiyo uliyosoma ndugu , hakuna kitu kama hicho, nenda Israel utajua kwamba IQ hurithishwa toka kizazi mpaka kizazi via genetics za wazazi
 
Vijana watapata matunzo 'first class'.
Tunaangalia matunzo zaidi, ila malezi bora, ikiwamo mfano wa familia ya kikristu, wa baba, mama na watoto ndani ya nyumba hatuangalii!
 
Mkuu mzee wa kanisa...yaani miezi 9 ya mimba...alafu unasema hao watoto...Ni Surprise?..
Yaaani Umepata Mshangao wa watoto mapacha...
[emoji125][emoji125][emoji125]....Kerege wakufukuze TU...
 
Hongera mkuu.
Kuchanganya damu ni nzuri kwa ustwari wa akili za watoto.

Tuige mfano kwa wenzetu wachaga wao unakuta mama anaona watoto wa mume ni wazito sana.
Anaamua kuchanganya na mushi ili kupata watoto wenye IQ kubwa zaidi hii ni nzuri sana.

Nadhani usubiri muda ukwende ukamtambulishe mkeo .
Binafsi sinaga uwoga kwenye maisha na kwa upande wangu hili ni jambo jepesi sana.

Hongera sana .
usitungize wachaga kwenye ujinga wako.
 
Back
Top Bottom