Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulitia neno hapa kwenye hii chaiKahamia Kerege;
1. Amelazimika kupangisha
2. Ameongeza mke
3. Ameongeza watoto double
4. Na zawadi ya msongo wa mawazo
Hii ndio dunia ya 3
Vibaya mnooo
Huyu jamaa alikuwa na Id moja kongwe humu ( ya yule mtu anasimamia misa kanisani nadhani umeelewa)...ikapigwa life banHii chai imeungwa vizuri kweli ila haibadili maana kuwa ni chai [emoji13]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]Mke hatajua. Maana huku Mjini hajagi kabisa si unajua wanawake wa Ki-rombo na ufugaji wa Nguruwe
Haha kaoa mfuga nguruwe sasa pisi kali zinamtumikishaKumbe ulitia neno hapa kwenye hii chai
Nimefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HaaahaaNimefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa sidhani kama nyuzi zake nyingine huwa ni kweli? Chai nyingi[emoji23][emoji23]
Josh kama josh[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Nina amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaahaa
Kuna kipindi alisema mke wake mbaya balaa, limenenepeana kama nguruwe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Yeah dear niliusoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi huyu.. ule uzi wake wa kuhama Kerege si uliusoma?
😂 😂 😂Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.
Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.
Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.
Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.
Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
Hongera sana, na Ubatizo huo usiache kuweka dengeluaJumatatu ya Pasaka nabatiza mapacha. Karibuni
Chedi ngande ni ngandeUrewedi