Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Madalali nahitaji nyumba vyumba 3 maeneo ya Mapinga. Iwe na geti
 
Hii chai imeungwa vizuri kweli ila haibadili maana kuwa ni chai [emoji13]
Huyu jamaa alikuwa na Id moja kongwe humu ( ya yule mtu anasimamia misa kanisani nadhani umeelewa)...ikapigwa life ban


Huyu jamaa huwaga nyuzi zake zina vituko halafu zote CHAI iliyolostiwa[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]kubbbbbk

Makiseo njoo kwenye huu uzi
Nimefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa sidhani kama nyuzi zake nyingine huwa ni kweli? Chai nyingi[emoji23][emoji23]
 
Nimefika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa sidhani kama nyuzi zake nyingine huwa ni kweli? Chai nyingi[emoji23][emoji23]
Haaahaa

Kuna kipindi alisema mke wake mbaya balaa, limenenepeana kama nguruwe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Haaahaa

Kuna kipindi alisema mke wake mbaya balaa, limenenepeana kama nguruwe[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi huyu.. ule uzi wake wa kuhama Kerege si uliusoma?
 
Mijitu miongo hapa naona wengi wanaiga tu mkumbo kumponda jamaa kwa alichokifanya,lakini mioyoni mwao wanajijua matendo yao. Wanaume wengi tu 90% wana michepuko na wengi wamewazalisha. Jamaa amekuja kuomba ushauri na kaeleza ukweli wake. Nimesoma comment nyingi watu wengi wanajifanya watakatifu hwajahi kufanya hayo mambo. Usimuogope binadamu,muogopeni MUNGU anaekuona mpaka ndani ya moyo wako
 
Kama mjuavyo makazi ni Kerege Sasa kutokana na umbali kwenda kazini (Posta mpya CBD) nikaja kupanga chumba tena kimoja maeneo ya Kinondoni Studio.

Basi, nikapata mchepuko wa kupunguza ashki katikati ya wiki (huku na kule) akanasa mimba. Sasa kajifungua Jana (Jumapili) nikawa nipo na wife Kerege sikuweza kwenda kuwaona hospitali.

Alfajiri leo (Jumatatu) nikawahi Kairuki Hospitali nikiwa njiani Mzazi mwenzangu (mchepuko) akatuma text ana surprise yangu namuuliza nini? Hajibu, ile nafika hospitali nakuta manesi wameniandalia kiti kabisa cha kukaa.

Aisee dakika 2 baadae naletewa mapacha (nimefanana nao hatari) niwabebe na picha nikapigwa toka saa 12 asubuhi nimeduwaa siamini kilichotokea.

Nawaza mengi nahitaji msaada wa kisaikolojia ndugu zangu. Hii Hali sikuitegemea.
NB: Usharikani Kerege ni mzee wa Kanisa sijui Mchungaji akijua itakuaje?
😂 😂 😂
 
Hongera sana, na Ubatizo huo usiache kuweka dengelua
tokea member mmoja aliposema humu kuwa ww ni Mpare nimeamini kabisa yote usemayo ni kweli
Urewedi
 
Back
Top Bottom