Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Mchepuko umenizalia 'Twins' kwa surprise

Pambana kutafuta hela tu.
Umeshaingiwa na yoga wa maisha.
Pesa ndio kila kitu.
Hata mkeo hatakusumbua.
Unatakiwa kuhakikisha matumizi ya familia hayaingiliwi na matumizi ya mchepuko wako.
Lea watoto.
 
Kiukweli Ni aibu Mbele ya Mchungaji usharikani kwangu.
Na Mungu pia maana alikupa mke we ukaamua ukazini na mwanamke mwingine ukambembesha mimba kabisa

Aibu yako mzee wa kanisa [emoji57]

#Yakobo1:15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi nayo dhambi ikikomaa huzaa mauti#
 
Uzee wa kanisa hilo ni lako na Mungu wako.

Mengine beba hata Bwana Yesu aliubeba msalaba wake mwenyewe, japo njiani alisaidiwa na Simon Krene.


Vile hata kaweza enda jifingulia kwa kairuki ni jibu kuwa mko vizuri kiuchumi.

Jikaze mtoto wa kiume.
 
Hongera sana kwa kupata twins, kwani ni faraja na furaha.
Ila pia poleee sana kwa kuvunja ndoa yako ya awali. JAH awe nanyi ktk hilo.
 
Wengi tunaamini kwamba Mungu hupendelea kuwaadhibu baadhi ya watu hapahapa duniani kwa malengo ya kuwapa funzo kupitia vielelezo halisi.
 
Back
Top Bottom