Mchepuko umepagawa na huduma

Hudumia tu, ila athari zake utaziona baadae! Amini nakwambia, hakuna mtu dhaifu kwa mke wake.

Penzi la wizi ni sawa na athari zinazowapata wavuta madawa, huwezi kuziona leo.

Anakupamba sana kwa sababu bado anahitaji huduma zako. Ila yawezekana anamponda kwako ila akirudi kwa mumewe full respect.
 
Uzoefu au?
 
Kweli mkuu,imebidi nimpatie kitambi kama ukumbusho mkuu
 
Usije ukanyonga atakapobadili gia angani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…